Artifact Collector JF-Expert Member Joined Mar 7, 2019 Posts 6,617 Reaction score 10,205 Dec 13, 2022 Thread starter #41 luangalila said: Upareni kuna misitu sio vimsitu Ukifika Chome, Vudee, Ngwang'a , Marieni na vijiji vya karibu huko kuna misitu ya Chome ni msitu mkubwa sanaa. Click to expand... Pare ya kusini ndo Kun misitu, Ila pare ya kaskazin Kuna vimisitu ambavyo vingi vina madhabahu za kutolea sadaka
luangalila said: Upareni kuna misitu sio vimsitu Ukifika Chome, Vudee, Ngwang'a , Marieni na vijiji vya karibu huko kuna misitu ya Chome ni msitu mkubwa sanaa. Click to expand... Pare ya kusini ndo Kun misitu, Ila pare ya kaskazin Kuna vimisitu ambavyo vingi vina madhabahu za kutolea sadaka
Narumu One JF-Expert Member Joined Oct 31, 2022 Posts 396 Reaction score 399 Dec 13, 2022 #42 aise said: Utakuwa wewe ni mmachame bila shaka Click to expand... Huyu ni Mkibosho wa Manushi Side.
Artifact Collector JF-Expert Member Joined Mar 7, 2019 Posts 6,617 Reaction score 10,205 Dec 13, 2022 Thread starter #43 Prince Kunta said: Kama ukioa huko basi huyo mke muweke mbali na mali, lasivyo utatangulia mbele za haki. Click to expand... Sio kweli kama ni hivyo wale wenye hela wangekua wote wameshaolewa
Prince Kunta said: Kama ukioa huko basi huyo mke muweke mbali na mali, lasivyo utatangulia mbele za haki. Click to expand... Sio kweli kama ni hivyo wale wenye hela wangekua wote wameshaolewa