BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Malawi kuna Umasikini wa kutisha sana ile nchi, na ukifika unaona umasikini kwa macho kabisa, Ila kitu kimoja kutoka kwao sio wapumbavu kama sisi, ndio maana Democrasia imeshamiri sana Malawi. Pamoja na kiwango chao cha juu cha Umasikini ila sio wajinga wala Wapumbavu.Wamalawi huwezi enda kuwahonga Chumvi na umasikini wao ule.
Zambia nayo ni sawa na Malawi, kuna umasikini sana kuliko Tanzania kwa mbali sana, Ila Zambia na Umasikini wao na wao pia sio wajinga wala Wapumbavu, Wazambia hawahongwi Kanga wala Kofia wala Tshirt wala Sukari. Wazambia wana msimamo na elimu ya Uraia imewakaa sana.
Wakenya, Kenya kuna Umasikini yes ila advantage yao ni kwamba hawajawahi kuwa wajinga tangu enzi na enzi, Wakenya sio waoumbavu kabisa na ndio maaana unaona hawaogopi kulianzisha muda wowote ule.
Tanzania, shida ya hii nchi ni kiwango kisicho elezeka cha upambabu mbaya zaidi haijalishi mtu kaenda shule au la, yaani Walio soma ndio wapumhavu kuliko hata ambao hawajaenda shule kabisa.Kama Profesor anaweza sema ametolewa Jalarani unategemea nini?Huyu ni msomi ila Mpumbavu, sasa fikiria ambao hawajaenda shule hali ikoje? si ndio wale huko Shinyanga wanahongwa Chumvi wakati wa kampeni?
Ugopa sana combinationa ya UOGA + UPAMBAVU + UMASIKINI = JANGA KWA TAIFA.
Wakati wa Kampeni huwezi amini kuna watu wanahongwa Chumvi, sio hata sukari ni Chumvi ya sh 500,nilikutana na hili niliumiaga sana. Kuna raia wanahongwa Viberiti vya sh 100.
Hii ni matokea ya Umasikimni + Uoga+Upumbavu hii dio inazaaa Chawa, inazaa raia wakujikomba sana, wakujiependekeza sana. Ni kawaida kukuta Wabongo wanajazwa kwenye basi na wakifika kwenye mizani wanashushwa watembee jwa miguu watakutwa mbele. Hii ni matokeo ya vitu nilivyo taja hapo juu.
Malawi, Kenya, Zambia wana kimoja tu Umasikini.Shida ya Tanzania ina combination yaani kuna Umasikikini, Uoga, Upumbavu.