Tofauti ya Watanzania na Wamalawi, Wazambia na Wakenya iko kwenye vitu vikuu vitatu.

Ukweli mchungu..!
Piga picha tangu mwaka wa uhuru mpaka leo hii nchi inaendeshwa na chama kimoja hivi nini maana ya demokrasia ya vyama vingi??Kama chama kimoja kinarudia madudu yake miaka yote hii??
Wasababishi wakubwa ni wananchi wapumbavu wengi wenye uelewa mdogo wengi vijijini na wengine wa mjini tena wengi wao wakizidi kuritishana kizazi hadi kizazi
Aise sijui nani atakuja kututoa gizani !
 
Kwa hiyo unqtqka watu waandamane for what ikiwa hawana sababu ya msingi ya kufanya hivyo.
Tanzania at least kuna namna serikali inasikiliza wananchi na kuchukua hatua na hivyo kuepusha hayo maandamano ambayo ni product ya wananchi kutosikilizwa.
Siku zikiwepo sababu genuine za watu kuandamana wataandamana tu, maana hapo watakua hawana cha kupoteza.
Katiba mpya. Tunataka rasimu ya warioba.
 
Ukweli mchungu..!
Piga picha tangu mwaka wa uhuru mpaka leo hii nchi inaendeshwa na chama kimoja hivi nini maana ya demokrasia ya vyama vingi??Kama chama kimoja kinarudia madudu yake miaka yote hii??
Wasababishi wakubwa ni wananchi wapumbavu wengi wenye uelewa mdogo wengi vijijini na wengine wa mjini tena wengi wao wakizidi kuritishana kizazi hadi kizazi
Aise sijui nani atakuja kututoa gizani !
 
Katiba mpya bila watu wanaoweza kuilinda na kuitetea? Lazima madai haya yaende sambamba na kubadilisha fikra ziwe za ukombozi wa kiuchumi. Uchumi lazima ujengwe katika umiliki wa wazawa kwa asilimia kubwa.
Hakuna sehemu Mzawa kazuiwa kumiliki Uchumi kinachotakiwa ni kusomesha Vijana katika mambo ya Uchumi angalia Familia za Kihindi na Kiarabu Wazee wao wakifariki Mali haifilisiki lakini sisi Waafrika Mzee akifariki na hiyo Mali yote inafikisika.
 
Malawi kuna Umasikini wa kutisha sana ile nchi, na ukifika unaona umasikini kwa macho kabisa, Ila kitu kimoja kutoka kwao sio wapumbavu kama sisi, ndio maana Democrasia imeshamiri sana Malawi. Pamoja na kiwango chao cha juu cha Umasikini ila sio wajinga wala Wapumbavu.Wamalawi huwezi enda kuwahonga Chumvi na umasikini wao ule.

Zambia nayo ni sawa na Malawi, kuna umasikini sana kuliko Tanzania kwa mbali sana, Ila Zambia na Umasikini wao na wao pia sio wajinga wala Wapumbavu, Wazambia hawahongwi Kanga wala Kofia wala Tshirt wala Sukari. Wazambia wana msimamo na elimu ya Uraia imewakaa sana.

Wakenya, Kenya kuna Umasikini yes ila advantage yao ni kwamba hawajawahi kuwa wajinga tangu enzi na enzi, Wakenya sio waoumbavu kabisa na ndio maaana unaona hawaogopi kulianzisha muda wowote ule.

Tanzania, shida ya hii nchi ni kiwango kisicho elezeka cha upambabu mbaya zaidi haijalishi mtu kaenda shule au la, yaani Walio soma ndio wapumhavu kuliko hata ambao hawajaenda shule kabisa.Kama Profesor anaweza sema ametolewa Jalarani unategemea nini?Huyu ni msomi ila Mpumbavu, sasa fikiria ambao hawajaenda shule hali ikoje? si ndio wale huko Shinyanga wanahongwa Chumvi wakati wa kampeni?

Ugopa sana combinationa ya UOGA + UPAMBAVU + UMASIKINI = JANGA KWA TAIFA.

Wakati wa Kampeni huwezi amini kuna watu wanahongwa Chumvi, sio hata sukari ni Chumvi ya sh 500,nilikutana na hili niliumiaga sana. Kuna raia wanahongwa Viberiti vya sh 100.

Hii ni matokea ya Umasikimni + Uoga+Upumbavu hii dio inazaaa Chawa, inazaa raia wakujikomba sana, wakujiependekeza sana. Ni kawaida kukuta Wabongo wanajazwa kwenye basi na wakifika kwenye mizani wanashushwa watembee jwa miguu watakutwa mbele. Hii ni matokeo ya vitu nilivyo taja hapo juu.

Malawi, Kenya, Zambia wana kimoja tu Umasikini.Shida ya Tanzania ina combination yaani kuna Umasikikini, Uoga, Upumbavu.
Umaskini kwa macho😅😅
 
Ukweli mchungu..!
Piga picha tangu mwaka wa uhuru mpaka leo hii nchi inaendeshwa na chama kimoja hivi nini maana ya demokrasia ya vyama vingi??Kama chama kimoja kinarudia madudu yake miaka yote hii??
Wasababishi wakubwa ni wananchi wapumbavu wengi wenye uelewa mdogo wengi vijijini na wengine wa mjini tena wengi wao wakizidi kuritishana kizazi hadi kizazi
Aise sijui nani atakuja kututoa gizani !
Sahihi
 
hayupo na hatotokea
 
Malawi kuna Umasikini wa kutisha sana ile nchi, na ukifika unaona umasikini kwa macho kabisa, Ila kitu kimoja kutoka kwao sio wapumbavu kama sisi, ndio maana Democrasia imeshamiri sana Malawi. Pamoja na kiwango chao cha juu cha Umasikini ila sio wajinga wala Wapumbavu.Wamalawi huwezi enda kuwahonga Chumvi na umasikini wao ule.

Zambia nayo ni sawa na Malawi, kuna umasikini sana kuliko Tanzania kwa mbali sana, Ila Zambia na Umasikini wao na wao pia sio wajinga wala Wapumbavu, Wazambia hawahongwi Kanga wala Kofia wala Tshirt wala Sukari. Wazambia wana msimamo na elimu ya Uraia imewakaa sana.

Wakenya, Kenya kuna Umasikini yes ila advantage yao ni kwamba hawajawahi kuwa wajinga tangu enzi na enzi, Wakenya sio waoumbavu kabisa na ndio maaana unaona hawaogopi kulianzisha muda wowote ule.

Tanzania, shida ya hii nchi ni kiwango kisicho elezeka cha upambabu mbaya zaidi haijalishi mtu kaenda shule au la, yaani Walio soma ndio wapumhavu kuliko hata ambao hawajaenda shule kabisa.Kama Profesor anaweza sema ametolewa Jalarani unategemea nini?Huyu ni msomi ila Mpumbavu, sasa fikiria ambao hawajaenda shule hali ikoje? si ndio wale huko Shinyanga wanahongwa Chumvi wakati wa kampeni?

Ugopa sana combinationa ya UOGA + UPAMBAVU + UMASIKINI = JANGA KWA TAIFA.

Wakati wa Kampeni huwezi amini kuna watu wanahongwa Chumvi, sio hata sukari ni Chumvi ya sh 500,nilikutana na hili niliumiaga sana. Kuna raia wanahongwa Viberiti vya sh 100.

Hii ni matokea ya Umasikimni + Uoga+Upumbavu hii dio inazaaa Chawa, inazaa raia wakujikomba sana, wakujiependekeza sana. Ni kawaida kukuta Wabongo wanajazwa kwenye basi na wakifika kwenye mizani wanashushwa watembee jwa miguu watakutwa mbele. Hii ni matokeo ya vitu nilivyo taja hapo juu.

Malawi, Kenya, Zambia wana kimoja tu Umasikini.Shida ya Tanzania ina combination yaani kuna Umasikikini, Uoga, Upumbavu.
😂😂😂😂😂 daah mzee umenikumbusha mahala kidogo.Kuna siku nimepanda gari ya abiria huku usukumani kanda ya ziwa,safari ilikuwa kutoka Mwanza kwenda Simiyu.Bus lile lilijaza watu sana na likawa limesimamisha watu.Kilichonishangaza ni kuwa kwenye siti niliyokaa mimi na mwenzangu ilikuwa siti ya watu watatu sisi tupo wawili katikati yetu kuna siti tupu.Wale wasukuma waliingia wakajazwa wakasimamishwa wakiwa na mizigo na wengine wameshikilia watoto mikononi LAKINI hakuna hata mmoja aliyethubutu kuniambia sogea nikae nataka kukaa hapo kwenye nafasi😂😂😂😂.Nilimwambia niliyekuwa nae kuwa asiwatazame wala kucheka(kwa kiingereza) ili aone jinsi watz tulivyowaoga na kweli mpaka tunafika DUTWA abiria wale walikuwa wanateseka bila kutuuliza.Nikaamua kuongea kwa kiswahili jaman mbona hapa kuna nafas!Wakaanza kusukumana nan akae😂😂😂😂😂
 
Mkuu nakubaliana na wewe kwa asilimia nyingi.
Zambia: Ulioyaandika kuhusu Zambia ni kweli. Edgar Lungu aligawa t-shirt nyingi sana mpaka Leo ukifika Tunduma,mpaka Sumbawanga watu wanazivaa lakini akakosa Urais.

Tanzania: Kuhusu rushwa ya viberiti vya shs 100. Hii niliona kwenye kampeni Jimbo la fulani Mkoani Shinyanga, kwenye Kura za maoni za mbogamboga, Ila ndani ya hivyo viberiti ilikua imefichwa msimbazi(10k)
 
Malawi na Zambia wanakusubiri kwenye uchaguzi tu,kama ulifanya madudu jiandae kuachia madaraka baada ya kura kupigwa
 
Bongo unandika hoja yako vizuri tuu kwaajili ya kufungua watu vichwa ila kwenywe respond/Comments za watu sasa ndo utagundua upumbavu ni wa kiasi gani

Utaona emoji za kucheka cheka, Utaona masihara na matani kibao ya watu as if unawasomea hadithi machizi
 
Sawa mkuu,anzisha ngo ya democrasia na uraia nitakuwa mjumbe wa kujitolea.
 
Back
Top Bottom