Tofauti ya Watanzania na Wamalawi, Wazambia na Wakenya iko kwenye vitu vikuu vitatu.

Hasira za Umaskini zinatokana na ukosefu wa huduma za Msingi. 1.Tanzania 🇹🇿 Barabara zimeboreshwa mpaka Mkenya amekili MkekA upo....
2.Tanzania elimu ni Buree std 1- Form 4.. Ulizia hizo nchi zako..
3. Tanzania ndio nchi ktk Afrika tumepeleka Advanced Diagnosis kama MRI; CT scan katika level za MikoA..
4.Tanzania tumefanya Maboresho katika specialized hospital ikiwemo JKI; MOI kuliko nchi nyingi za AfrikA!!!
 
Hakuna sehemu Mzawa kazuiwa kumiliki Uchumi kinachotakiwa ni kusomesha Vijana katika mambo ya Uchumi angalia Familia za Kihindi na Kiarabu Wazee wao wakifariki Mali haifilisiki lakini sisi Waafrika Mzee akifariki na hiyo Mali yote inafikisika.
Tatizo Bata za kijinga na elimu ya ujasiriamali ni sifuri.
 
Hasira za Umaskini zinatokana na ukosefu wa huduma za Msingi. 1.Tanzania 🇹🇿 Barabara zimeboreshwa mpaka Mkenya amekili MkekA upo....
2.Tanzania elimu ni Buree std 1- Form 4.. Ulizia hizo nchi zako..
3. Tanzania ndio nchi ktk Afrika tumepeleka Advanced Diagnosis kama MRI; CT scan katika level za MikoA..
4.Tanzania jmefanya Maboresho katika specialized hospital ikiwemo JKI; MOI kuliko nchi nyingi za AfrikA!!!
Nchi ya watu milioni 70 na GDP ya 75 billion, ni maskini sana
 
1000228316.jpg
 
Hizo nchi zote nimeka ni kweli
Kabisa mleta mada unachosema
Hujakosea

Ova
 
Kwa hiyo unqtqka watu waandamane for what ikiwa hawana sababu ya msingi ya kufanya hivyo.
Tanzania at least kuna namna serikali inasikiliza wananchi na kuchukua hatua na hivyo kuepusha hayo maandamano ambayo ni product ya wananchi kutosikilizwa.
Siku zikiwepo sababu genuine za watu kuandamana wataandamana tu, maana hapo watakua hawana cha kupoteza.
Nimeipenda hii
 
Malawi kuna Umasikini wa kutisha sana ile nchi, na ukifika unaona umasikini kwa macho kabisa, Ila kitu kimoja kutoka kwao sio wapumbavu kama sisi, ndio maana Democrasia imeshamiri sana Malawi. Pamoja na kiwango chao cha juu cha Umasikini ila sio wajinga wala Wapumbavu.Wamalawi huwezi enda kuwahonga Chumvi na umasikini wao ule.

Zambia nayo ni sawa na Malawi, kuna umasikini sana kuliko Tanzania kwa mbali sana, Ila Zambia na Umasikini wao na wao pia sio wajinga wala Wapumbavu, Wazambia hawahongwi Kanga wala Kofia wala Tshirt wala Sukari. Wazambia wana msimamo na elimu ya Uraia imewakaa sana.

Wakenya, Kenya kuna Umasikini yes ila advantage yao ni kwamba hawajawahi kuwa wajinga tangu enzi na enzi, Wakenya sio waoumbavu kabisa na ndio maaana unaona hawaogopi kulianzisha muda wowote ule.

Tanzania, shida ya hii nchi ni kiwango kisicho elezeka cha upambabu mbaya zaidi haijalishi mtu kaenda shule au la, yaani Walio soma ndio wapumhavu kuliko hata ambao hawajaenda shule kabisa.Kama Profesor anaweza sema ametolewa Jalarani unategemea nini?Huyu ni msomi ila Mpumbavu, sasa fikiria ambao hawajaenda shule hali ikoje? si ndio wale huko Shinyanga wanahongwa Chumvi wakati wa kampeni?

Ugopa sana combinationa ya UOGA + UPAMBAVU + UMASIKINI = JANGA KWA TAIFA.

Wakati wa Kampeni huwezi amini kuna watu wanahongwa Chumvi, sio hata sukari ni Chumvi ya sh 500,nilikutana na hili niliumiaga sana. Kuna raia wanahongwa Viberiti vya sh 100.

Hii ni matokea ya Umasikimni + Uoga+Upumbavu hii dio inazaaa Chawa, inazaa raia wakujikomba sana, wakujiependekeza sana. Ni kawaida kukuta Wabongo wanajazwa kwenye basi na wakifika kwenye mizani wanashushwa watembee jwa miguu watakutwa mbele. Hii ni matokeo ya vitu nilivyo taja hapo juu.

Malawi, Kenya, Zambia wana kimoja tu Umasikini.Shida ya Tanzania ina combination yaani kuna Umasikikini, Uoga, Upumbavu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wewe binafsi umewahi kufanya jambo gani linaloashiria kwamba sio muoga wala mpumbavu?
Ukiachilia mbali kuanzisha threads humu jf!
 
Naunga mkono hoja. Uoga, upumbavu na umaskini ndivyo vinavyoimaliza Tanzania. Mungu waamshe Watanzania wote lakini pia waondolee kabisa uoga.
 
Bongo unandika hoja yako vizuri tuu kwaajili ya kufungua watu vichwa ila kwenywe respond/Comments za watu sasa ndo utagundua upumbavu ni wa kiasi gani

Utaona emoji za kucheka cheka, Utaona masihara na matani kibao ya watu as if unawasomea hadithi machizi
jamani nimecheka balaa...dah🙌
 
Malawi kuna Umasikini wa kutisha sana ile nchi, na ukifika unaona umasikini kwa macho kabisa, Ila kitu kimoja kutoka kwao sio wapumbavu kama sisi, ndio maana Democrasia imeshamiri sana Malawi. Pamoja na kiwango chao cha juu cha Umasikini ila sio wajinga wala Wapumbavu.Wamalawi huwezi enda kuwahonga Chumvi na umasikini wao ule.

Zambia nayo ni sawa na Malawi, kuna umasikini sana kuliko Tanzania kwa mbali sana, Ila Zambia na Umasikini wao na wao pia sio wajinga wala Wapumbavu, Wazambia hawahongwi Kanga wala Kofia wala Tshirt wala Sukari. Wazambia wana msimamo na elimu ya Uraia imewakaa sana.

Wakenya, Kenya kuna Umasikini yes ila advantage yao ni kwamba hawajawahi kuwa wajinga tangu enzi na enzi, Wakenya sio waoumbavu kabisa na ndio maaana unaona hawaogopi kulianzisha muda wowote ule.

Tanzania, shida ya hii nchi ni kiwango kisicho elezeka cha upambabu mbaya zaidi haijalishi mtu kaenda shule au la, yaani Walio soma ndio wapumhavu kuliko hata ambao hawajaenda shule kabisa.Kama Profesor anaweza sema ametolewa Jalarani unategemea nini?Huyu ni msomi ila Mpumbavu, sasa fikiria ambao hawajaenda shule hali ikoje? si ndio wale huko Shinyanga wanahongwa Chumvi wakati wa kampeni?

Ugopa sana combinationa ya UOGA + UPAMBAVU + UMASIKINI = JANGA KWA TAIFA.

Wakati wa Kampeni huwezi amini kuna watu wanahongwa Chumvi, sio hata sukari ni Chumvi ya sh 500,nilikutana na hili niliumiaga sana. Kuna raia wanahongwa Viberiti vya sh 100.

Hii ni matokea ya Umasikimni + Uoga+Upumbavu hii dio inazaaa Chawa, inazaa raia wakujikomba sana, wakujiependekeza sana. Ni kawaida kukuta Wabongo wanajazwa kwenye basi na wakifika kwenye mizani wanashushwa watembee jwa miguu watakutwa mbele. Hii ni matokeo ya vitu nilivyo taja hapo juu.

Malawi, Kenya, Zambia wana kimoja tu Umasikini.Shida ya Tanzania ina combination yaani kuna Umasikikini, Uoga, Upumbavu.
Na lazima upumbavu na ujinga unaounadi hapa utakuwa umeanzia kwa baba na mama (yako).Wewe umerithishwa.
 
Umesema ya moyoni, hakika kabisa, angalia budget yetu, kuna mtu aliyehoji? Ni watu tu wa "ndio mzee " basi twende kwenye kauli ya professor Lumumba "we elect fools to the office " ukipewa tu kitu kidogo unamuweka mtu wa kukuletea matatizo kwa miaka 5.
 
mtajikuta wa4 tu..majitu maoga mno..we soma COmments za watz kwa wakenya hadi unabaki kushangaa hii nchi HOVYO MNO MNO
Kama Watanzania Maisha ya kushindia Kahawa chungu na kushinda Vijiweni na kulalamika tu basi tusubiri Vizazi vijavyo vije viikomboe Nchi hii.
 
Shida kuna watu wanataka watimiziwe ndoto zao,,,,,,mlio na ndoto za maandamano kama ya Kenya ingieni tu ground..........mtatukana yote ila hakuna mtu wa kuwafanyia kazi zenu chafu zaidi ya nyie wenyewe
 
Back
Top Bottom