Tofauti ya Watanzania na Wamalawi, Wazambia na Wakenya iko kwenye vitu vikuu vitatu.

Ukweli mchungu..!
Piga picha tangu mwaka wa uhuru mpaka leo hii nchi inaendeshwa na chama kimoja hivi nini maana ya demokrasia ya vyama vingi??Kama chama kimoja kinarudia madudu yake miaka yote hii??
Wasababishi wakubwa ni wananchi wapumbavu wengi wenye uelewa mdogo wengi vijijini na wengine wa mjini tena wengi wao wakizidi kuritishana kizazi hadi kizazi
Aise sijui nani atakuja kututoa gizani !
 
Katiba mpya. Tunataka rasimu ya warioba.
 
Ukweli mchungu..!
Piga picha tangu mwaka wa uhuru mpaka leo hii nchi inaendeshwa na chama kimoja hivi nini maana ya demokrasia ya vyama vingi??Kama chama kimoja kinarudia madudu yake miaka yote hii??
Wasababishi wakubwa ni wananchi wapumbavu wengi wenye uelewa mdogo wengi vijijini na wengine wa mjini tena wengi wao wakizidi kuritishana kizazi hadi kizazi
Aise sijui nani atakuja kututoa gizani !
 
Katiba mpya bila watu wanaoweza kuilinda na kuitetea? Lazima madai haya yaende sambamba na kubadilisha fikra ziwe za ukombozi wa kiuchumi. Uchumi lazima ujengwe katika umiliki wa wazawa kwa asilimia kubwa.
Hakuna sehemu Mzawa kazuiwa kumiliki Uchumi kinachotakiwa ni kusomesha Vijana katika mambo ya Uchumi angalia Familia za Kihindi na Kiarabu Wazee wao wakifariki Mali haifilisiki lakini sisi Waafrika Mzee akifariki na hiyo Mali yote inafikisika.
 
Umaskini kwa machoπŸ˜…πŸ˜…
 
Sahihi
 
hayupo na hatotokea
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ daah mzee umenikumbusha mahala kidogo.Kuna siku nimepanda gari ya abiria huku usukumani kanda ya ziwa,safari ilikuwa kutoka Mwanza kwenda Simiyu.Bus lile lilijaza watu sana na likawa limesimamisha watu.Kilichonishangaza ni kuwa kwenye siti niliyokaa mimi na mwenzangu ilikuwa siti ya watu watatu sisi tupo wawili katikati yetu kuna siti tupu.Wale wasukuma waliingia wakajazwa wakasimamishwa wakiwa na mizigo na wengine wameshikilia watoto mikononi LAKINI hakuna hata mmoja aliyethubutu kuniambia sogea nikae nataka kukaa hapo kwenye nafasiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.Nilimwambia niliyekuwa nae kuwa asiwatazame wala kucheka(kwa kiingereza) ili aone jinsi watz tulivyowaoga na kweli mpaka tunafika DUTWA abiria wale walikuwa wanateseka bila kutuuliza.Nikaamua kuongea kwa kiswahili jaman mbona hapa kuna nafas!Wakaanza kusukumana nan akaeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu nakubaliana na wewe kwa asilimia nyingi.
Zambia: Ulioyaandika kuhusu Zambia ni kweli. Edgar Lungu aligawa t-shirt nyingi sana mpaka Leo ukifika Tunduma,mpaka Sumbawanga watu wanazivaa lakini akakosa Urais.

Tanzania: Kuhusu rushwa ya viberiti vya shs 100. Hii niliona kwenye kampeni Jimbo la fulani Mkoani Shinyanga, kwenye Kura za maoni za mbogamboga, Ila ndani ya hivyo viberiti ilikua imefichwa msimbazi(10k)
 
Malawi na Zambia wanakusubiri kwenye uchaguzi tu,kama ulifanya madudu jiandae kuachia madaraka baada ya kura kupigwa
 
Bongo unandika hoja yako vizuri tuu kwaajili ya kufungua watu vichwa ila kwenywe respond/Comments za watu sasa ndo utagundua upumbavu ni wa kiasi gani

Utaona emoji za kucheka cheka, Utaona masihara na matani kibao ya watu as if unawasomea hadithi machizi
 
Sawa mkuu,anzisha ngo ya democrasia na uraia nitakuwa mjumbe wa kujitolea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…