Fikra za wengi walio kwenye madaraka ndiyo changamoto, zinafanana na zako pia.Hakuna sehemu Mzawa kazuiwa kumiliki Uchumi kinachotakiwa ni kusomesha Vijana katika mambo ya Uchumi angalia Familia za Kihindi na Kiarabu Wazee wao wakifariki Mali haifilisiki lakini sisi Waafrika Mzee akifariki na hiyo Mali yote inafikisika.
Hayo ni maneno ya mkosaji Nyerere aliwanyang'anya Majumba na Mali nyingine nyingi hao Wahindi na Waarabu na kutaifisha lakini leo hii wameweza kurejesha mali zao kwa uchapaji wa kazi.Ufisadi mkubwa hufanyika kupitia hao hao unaoamini hawafilisiki
Sijawahutumu wao, nimeshutumu wenzetu walio kwenye madaraka na wenye fikra kama zako.Hayo ni maneno ya mkosaji Nyerere aliwanyang'anya Majumba na Mali nyingine nyingi hao Wahindi na Waarabu na kutaifisha lakini leo hii wameweza kurejesha mali zao kwa uchapaji wa kazi.
Kuwashutumu kuwa ni mafisadi wakati sisi Waafrika ndio tunapora Serikali yetu na tunafisadi Nchi ni jambo la kijinga.
Patamu hapa tunashabikia ujinga kama Si upumbavu niniMalawi kuna Umasikini wa kutisha sana ile nchi, na ukifika unaona umasikini kwa macho kabisa, Ila kitu kimoja kutoka kwao sio wapumbavu kama sisi, ndio maana Democrasia imeshamiri sana Malawi. Pamoja na kiwango chao cha juu cha Umasikini ila sio wajinga wala Wapumbavu.Wamalawi huwezi enda kuwahonga Chumvi na umasikini wao ule.
Zambia nayo ni sawa na Malawi, kuna umasikini sana kuliko Tanzania kwa mbali sana, Ila Zambia na Umasikini wao na wao pia sio wajinga wala Wapumbavu, Wazambia hawahongwi Kanga wala Kofia wala Tshirt wala Sukari. Wazambia wana msimamo na elimu ya Uraia imewakaa sana.
Wakenya, Kenya kuna Umasikini yes ila advantage yao ni kwamba hawajawahi kuwa wajinga tangu enzi na enzi, Wakenya sio waoumbavu kabisa na ndio maaana unaona hawaogopi kulianzisha muda wowote ule.
Tanzania, shida ya hii nchi ni kiwango kisicho elezeka cha upambabu mbaya zaidi haijalishi mtu kaenda shule au la, yaani Walio soma ndio wapumhavu kuliko hata ambao hawajaenda shule kabisa.Kama Profesor anaweza sema ametolewa Jalarani unategemea nini?Huyu ni msomi ila Mpumbavu, sasa fikiria ambao hawajaenda shule hali ikoje? si ndio wale huko Shinyanga wanahongwa Chumvi wakati wa kampeni?
Ugopa sana combinationa ya UOGA + UPAMBAVU + UMASIKINI = JANGA KWA TAIFA.
Wakati wa Kampeni huwezi amini kuna watu wanahongwa Chumvi, sio hata sukari ni Chumvi ya sh 500,nilikutana na hili niliumiaga sana. Kuna raia wanahongwa Viberiti vya sh 100.
Hii ni matokea ya Umasikimni + Uoga+Upumbavu hii dio inazaaa Chawa, inazaa raia wakujikomba sana, wakujiependekeza sana. Ni kawaida kukuta Wabongo wanajazwa kwenye basi na wakifika kwenye mizani wanashushwa watembee jwa miguu watakutwa mbele. Hii ni matokeo ya vitu nilivyo taja hapo juu.
Malawi, Kenya, Zambia wana kimoja tu Umasikini.Shida ya Tanzania ina combination yaani kuna Umasikikini, Uoga, Upumbavu.
Kuna kusoma na kukaririshwa Wanaijeria wamesoma kuliko Wakuwaiti na Mataifa yao wote wana Mafuta lakini Wanaijeria ni masikini kuliko Wakuwaiti.Ukifanya utafiti rasmi utakuta wengi weusi wamesoma kuliko waarabu na wahindi
Tuendeleze libeneke la mauno mwanawane.Mtanzania sahvi kawa kama mkongo wao ni kukata mauno tu
Komasava
Ova
Nakuunga mkono mkuu japo..Malawi kuna Umasikini wa kutisha sana ile nchi, na ukifika unaona umasikini kwa macho kabisa, Ila kitu kimoja kutoka kwao sio wapumbavu kama sisi, ndio maana Democrasia imeshamiri sana Malawi. Pamoja na kiwango chao cha juu cha Umasikini ila sio wajinga wala Wapumbavu.Wamalawi huwezi enda kuwahonga Chumvi na umasikini wao ule.