Hizi hapa ndiyo sifa kuu za wanaomuunga mkono Freeman mbowe.
Awe haramu au halali ataitwa mwenyekiti.
Mimi siyo nabii lakini Uchaguzi wa mwenyekiti mwaka huu wote nishauona utakuwa hivi!
Utagubikwa na mazingira makubwa sana ya rushwa! Na Siku ya uchaguzi zitafanyika kila mbinu za kuiba kura!
Naomba kuwathilisha!
- machawa wanaotegemea kula na kuendeleza harakati zao kwa mgongo wa mbowe (posho za harakati)
- Wanachama wenye maono madogo yaliyobebwa na imani zaidi kuliko akili (Hisia)
- Watu waliokata tamaa ya kushika dola na hawaamini kuwa chama dola ( wanafanya siasa kama jadi)
- Watu waliovaa sura ya upinzani lakini wana unga mkono chama tawala
- Watu waliolipwa ili kuunga mkono
- Watu wasiojua chochote kuhusu mwenyekiti wa chama.
- Mapandikizi ya upinzani wasiokuwa wapinzani
- Wafanya biashara na watu wanaoamini njia haramu/ uchawi/wizi wa kura na mambo mengi ya kikatili
- Ni watu wanaohitaji kuona mabadiliko kwa vitendo
- Ni watu wanatabasam usoni lakini wana uchungu mkubwa sana moyoni
- Ni watu wanaopenda kuona haki ikitendeka
- Ni watu wanaopenda majibu zaidi kuliko maelezo
- Ni watu wanatumia akili zaidi kuliko hisia
- Ni watu wakali sana ambao wanahitaji kiongozi wao awe mfano wao
- Wa watu wakati mwingine hawataki kabisa kujionesha wanamuunga mkono nani ndani ya chama hadharani.
- Ni wakali sana lakini wakitawanyika mmoja mmoja ni waoga sana!
- Ni watu wanaojitolea zaidi kuliko kulipwa
- Ni watu wenye misingi ya imani ya dini, wacha Mungu, wapenda haki, watumishi wa umma, wanasheria na wasiopenda matukio ya kinyama.
Awe haramu au halali ataitwa mwenyekiti.
Mimi siyo nabii lakini Uchaguzi wa mwenyekiti mwaka huu wote nishauona utakuwa hivi!
Utagubikwa na mazingira makubwa sana ya rushwa! Na Siku ya uchaguzi zitafanyika kila mbinu za kuiba kura!
Naomba kuwathilisha!