Tohara kwa watoto wa kiume inavyo wajibu atheists kuhusu " The Problem of evil"

Tohara kwa watoto wa kiume inavyo wajibu atheists kuhusu " The Problem of evil"

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,943
Reaction score
37,839
ATHEISTS wana sema 👇👇👇👇

" Kama kweli Mungu anatupenda Sisi viumbe wake kwanini ameruhusu maumivu kwenye maisha ya watu? "


KUHUSU TOHARA :

Hakuna asie jua kwamba TOHARA ni suala lenye maumivu makali sana kwa watoto wa kiume. Licha ya kuwekewa ganzi etc lakini still bado TOHARA ina maumivu makali sana ya kimwili na kisaikolojia.

Baba kama una roho nyepesi unaweza usishuhudie mtoto wako akifanyiwa TOHARA.

Je baba kuruhusu mtoto wako apitie maumivu ya TOHARA ni kwa sababu unamchukia au unampenda?
 
Mbona kama kuna kitu unataka kutuambia ila unazunguka, kwamba govinda kumar ziachwe?
 
Back
Top Bottom