Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
WanaJf,
Salaam za Krismas na Mwaka mpya 2023!
Najiuliza tu iwapo taasisi za kivyama ni imara na wanavyama wana utimamu wa akili kwa nini CCM imebadili wenyeviti mara 4 tangu miaka ya 2000 wakati wanaojiita upinzani wakiwa na wenyeviti ving'ang'anizi wa madaraka.
Hii kweli inatuonesha kwamba wakipewa dola watafuata misingi ya kiuongozi au ndiyo tutatoa akina Mandela tuingize akina Iddi Amin?
CDM, CUF, na NCCR shawishini watu kwa matendo janja janja ya nyani haiwezi kuwavusha. Kila mnapoguswa mnaishia kufukuza wanachama kama Zitto, Mabrouk, Wangwe, Sumaye, Lowassa nk.
Msakila M Kabende
Kakonko.