Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
- Thread starter
- #61
Kutakuwa na kesi ngapi nchiniUshauri wa bure nenda kalalamike mahakamani au kwa msajili wa vyama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutakuwa na kesi ngapi nchiniUshauri wa bure nenda kalalamike mahakamani au kwa msajili wa vyama.
kwa miaka hiyo ni mara ngapi imeruhusu mabadiliko ya Katiba inayotoa grounds za ushindani sawa kwa vyama vingine?WanaJf,
Salaam za Krismas na Mwaka mpya 2023!
Najiuliza tu iwapo taasisi za kivyama ni imara na wanavyama wana utimamu wa akili kwa nini CCM imebadili wenyeviti mara 4 tangu miaka ya 2000 wakati wanaojiita upinzani wakiwa na wenyeviti ving'ang'anizi wa madaraka.
Hii kweli inatuonesha kwamba wakipewa dola watafuata misingi ya kiuongozi au ndiyo tutatoa akina Mandela tuingize akina Iddi Amin?
CDM, CUF, na NCCR shawishini watu kwa matendo janja janja ya nyani haiwezi kuwavusha. Kila mnapoguswa mnaishia kufukuza wanachama kama Zitto, Mabrouk, Wangwe, Sumaye, Lowassa nk.
Msakila M Kabende
Kakonko.
kwakuwa wewe unakerwa na kutobadilisha wenyeviti sehemu sahihi ni mahakamani wingi wa kesi sio tatizo kwakuwa ndio kazi yao wakiona kesi yako haina mashiko wataitupilia mbali lao wakiona inamashiko watatoa maamuzi sahihi kwa vyama husikaKutakuwa na kesi ngapi nchini
Kama aliyepo anafaa kwa nini wabadili. Unabadili endapo kuna upungufu siyo ili mradi kubadili. Saa ingine utaishia kubadili kilicho bora na cha ovyo, chakavu, zembe, goigoi, dhaifu, zezeta. Sasa utakuwa umefanya nini na kwa maslahi ya nani?WanaJf,
Salaam za Krismas na Mwaka mpya 2023!
Najiuliza tu iwapo taasisi za kivyama ni imara na wanavyama wana utimamu wa akili kwa nini CCM imebadili wenyeviti mara 4 tangu miaka ya 2000 wakati wanaojiita upinzani wakiwa na wenyeviti ving'ang'anizi wa madaraka.
Hii kweli inatuonesha kwamba wakipewa dola watafuata misingi ya kiuongozi au ndiyo tutatoa akina Mandela tuingize akina Iddi Amin?
CDM, CUF, na NCCR shawishini watu kwa matendo janja janja ya nyani haiwezi kuwavusha. Kila mnapoguswa mnaishia kufukuza wanachama kama Zitto, Mabrouk, Wangwe, Sumaye, Lowassa nk.
Msakila M Kabende
Kakonko.
Umebugi. Sorry Kama swali halikueleweka. Swali liihusu hao wenyeviti wa kitaifa wa CCM wanaodaiea wanabalishwa huwa Wanakuwa na wapinzani ili tujue Kama CCM Kuna demokrasia. Mkapa aligombea na Nani? JK je? na Magu? Au mama Nani kampinga.(a) tundu Lissu aligombea
(b). Mbowe aligombea Hai,
(c). Lema aligombea Arusha
cdm ni mali ya mtu utabadirishaje uongozi ? tangu lini tu akamkabidhi mtu mwingine mali yake?WanaJf,
Salaam za Krismas na Mwaka mpya 2023!
Najiuliza tu iwapo taasisi za kivyama ni imara na wanavyama wana utimamu wa akili kwa nini CCM imebadili wenyeviti mara 4 tangu miaka ya 2000 wakati wanaojiita upinzani wakiwa na wenyeviti ving'ang'anizi wa madaraka.
Hii kweli inatuonesha kwamba wakipewa dola watafuata misingi ya kiuongozi au ndiyo tutatoa akina Mandela tuingize akina Iddi Amin?
CDM, CUF, na NCCR shawishini watu kwa matendo janja janja ya nyani haiwezi kuwavusha. Kila mnapoguswa mnaishia kufukuza wanachama kama Zitto, Mabrouk, Wangwe, Sumaye, Lowassa nk.
Msakila M Kabende
Kakonko.
hapo mtakuwa mnajitukana yaani hakuna mtu mwingine anafaa zaidi yake? nyie wote hamfai? na atatawala maisha yake yote? hicho siyo chama ni genge la kihuniKama aliyepo anafaa kwa nini wabadili. Unabadili endapo kuna upungufu siyo ili mradi kubadili. Saa ingine utaishia kubadili kilicho bora na cha ovyo, chakavu, zembe, goigoi, dhaifu, zezeta. Sasa utakuwa umefanya nini na kwa maslahi ya nani?
Kwamba Mwenyekiti asiwe mbunge? Makamu Mwenyekiti asigombee Urais?Hivi wakuu ile hoja yetu ya kutenganisha kofia ilifikiaga wapi?
Ccm data wamezima kabisa..Ni kwasababu Maraisi wamebadilika kati ya 95 na 2021.
..Mbona wakati wa Mwalimu Nyerere ambapo Raisi hakubadilika Ccm haikubadili Mwenyekiti?
Kwahiyo vyama vya upinzani bado vipo zama Mwl. Nyerere! Duh! Kweli CCM itatawala daima Tanzania!!!..Ni kwasababu Maraisi wamebadilika kati ya 95 na 2021.
..Mbona wakati wa Mwalimu Nyerere ambapo Raisi hakubadilika Ccm haikubadili Mwenyekiti?
Kwahiyo vyama vya upinzani bado vipo zama Mwl. Nyerere! Duh! Kweli CCM itatawala daima Tanzania!!!
CDM, CUF, TLP, na NCCR msiweke pamba masikioni - why ufalme muuenzi kiasi hiki?WanaJf,
Salaam za Krismas na Mwaka mpya 2023!
Najiuliza tu iwapo taasisi za kivyama ni imara na wanavyama wana utimamu wa akili kwa nini CCM imebadili wenyeviti mara 4 tangu miaka ya 2000 wakati wanaojiita upinzani wakiwa na wenyeviti ving'ang'anizi wa madaraka.
Hii kweli inatuonesha kwamba wakipewa dola watafuata misingi ya kiuongozi au ndiyo tutatoa akina Mandela tuingize akina Iddi Amin?
CDM, CUF, na NCCR shawishini watu kwa matendo janja janja ya nyani haiwezi kuwavusha. Kila mnapoguswa mnaishia kufukuza wanachama kama Zitto, Mabrouk, Wangwe, Sumaye, Lowassa nk.
Msakila M Kabende
Kakonko.
Anapambania uteuzi huko chigomaMwenye uzi wake sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] afu anapambana na chadema. Hii nchi ngumu sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2480235
WanaJf,
Salaam za Krismas na Mwaka mpya 2023!
Najiuliza tu iwapo taasisi za kivyama ni imara na wanavyama wana utimamu wa akili kwa nini CCM imebadili wenyeviti mara 4 tangu miaka ya 2000 wakati wanaojiita upinzani wakiwa na wenyeviti ving'ang'anizi wa madaraka.
Hii kweli inatuonesha kwamba wakipewa dola watafuata misingi ya kiuongozi au ndiyo tutatoa akina Mandela tuingize akina Iddi Amin?
CDM, CUF, na NCCR shawishini watu kwa matendo janja janja ya nyani haiwezi kuwavusha. Kila mnapoguswa mnaishia kufukuza wanachama kama Zitto, Mabrouk, Wangwe, Sumaye, Lowassa nk.
Msakila M Kabende
Kakonko huwezi kutupangia Cha kufanya ndani ya chama chetu pambaneni na Hali zenu