Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
Na makatibu je wa CCM?mbona wanabadilishwa kila mara...wapinzani kuna vyama hata kubadili katibu Kwa mbindeKwa sababu rais lazima awe mwenyekiti.
Mweleze ukweli huyo mwenye wivu!Inakuuma sana?
Kenge wewe!Tokea 2000 ccm inaiba kura tu cdm/cuf wanakula kichapo cha polisi kama mbwa koko.
Kwa sababu Kwenye Ccm Mwenyekiti ndio anakuwa ndiye Mkuu wa Nchi na muda wa Ukuu wa Nchi ni miaka isiyozidi 10 akiondoka ni lazima narudia tena ni lazima amuachie anayekuwa Mkuu wa Nchi. !! Hata hivyo vyama vingine kama vitapata kuongoza Nchi vitafanya hivyo hivyo !!WanaJf,
Salaam za Krismas na Mwaka mpya 2023!
Najiuliza tu iwapo taasisi za kivyama ni imara na wanavyama wana utimamu wa akili kwa nini CCM imebadili wenyeviti mara 4 tangu miaka ya 2000 wakati wanaojiita upinzani wakiwa na wenyeviti ving'ang'anizi wa madaraka.
Hii kweli inatuonesha kwamba wakipewa dola watafuata misingi ya kiuongozi au ndiyo tutatoa akina Mandela tuingize akina Iddi Amin?
CDM, CUF, na NCCR shawishini watu kwa matendo janja janja ya nyani haiwezi kuwavusha. Kila mnapoguswa mnaishia kufukuza wanachama kama Zitto, Mabrouk, Wangwe, Sumaye, Lowassa nk.
Msakila M Kabende
Kakonko.
Umesahau namba ya simu na email addressMsakila M Kabende
Kakonko.
Mimi sinaga busara kujibu wajinga kama hawa, umejibu Kwa utulivu sana, bahati mbaya sana mbaya hatakuelewa!Kwa sababu Kwenye Ccm Mwenyekiti ndio anakuwa ndiye Mkuu wa Nchi na muda wa Ukuu wa Nchi ni miaka isiyozidi 10 akiondoka ni lazima narudia tena ni lazima amuachie anayekuwa Mkuu wa Nchi. !! Hata hivyo vyama vingine kama vitapata kuongoza Nchi vitafanya hivyo hivyo !!
Umejibu vyema, hizi Simblisi za CCM bure kabisa..Ni kwasababu Maraisi wamebadilika kati ya 95 na 2021.
..Mbona wakati wa Mwalimu Nyerere ambapo Raisi hakubadilika Ccm haikubadili Mwenyekiti?
....Tanzania imetawaliwa na chama dola for more than 60yrs na maadui wale bado wametamalaki,UJINGA, UMASIKINI, MARADHI na cousin wao RUSHWAWanaJf,
Salaam za Krismas na Mwaka mpya 2023!
Najiuliza tu iwapo taasisi za kivyama ni imara na wanavyama wana utimamu wa akili kwa nini CCM imebadili wenyeviti mara 4 tangu miaka ya 2000 wakati wanaojiita upinzani wakiwa na wenyeviti ving'ang'anizi wa madaraka.
Hii kweli inatuonesha kwamba wakipewa dola watafuata misingi ya kiuongozi au ndiyo tutatoa akina Mandela tuingize akina Iddi Amin?
CDM, CUF, na NCCR shawishini watu kwa matendo janja janja ya nyani haiwezi kuwavusha. Kila mnapoguswa mnaishia kufukuza wanachama kama Zitto, Mabrouk, Wangwe, Sumaye, Lowassa nk.
Msakila M Kabende
Kakonko.
Kule nyuma hili niliwahi kuliulizia Elections 2015 - CHADEMA ikipewa Nchi, Oktoba 2015, Hakuna Hatari Kugeuka Utawala wa Kidikteta? Nauliza Tuu!WanaJf,
Hii kweli inatuonesha kwamba wakipewa dola watafuata misingi ya kiuongozi au ndiyo tutatoa akina Mandela tuingize akina Iddi Amin?
Msakila M Kabende
Kakonko.
Na makatibu je wa CCM?mbona wanabadilishwa kila mara...wapinzani kuna vyama hata kubadili katibu Kwa mbinde
Kule nyuma hili niliwahi kuliulizia Elections 2015 - CHADEMA ikipewa Nchi, Oktoba 2015, Hakuna Hatari Kugeuka Utawala wa Kidikteta? Nauliza Tuu!
P
Naunga mkono hoja, ndio maana sisi wengine tuliwasisitiza watu humu Pascal Mayalla: CHADEMA watengeneze kwanza Katiba mpya ya chama chao kabla ya kukimbilia katiba ya nchi, wawatendee haki wabunge 19Ndio maana Katiba mpya ni muhimu, ni kwa ajili ya chama tawala na wapinzani.
WEWE UMEBADILISHA MKEO MARA NGAPI?WanaJf,