Toka 2000 CCM imebadili Wenyeviti mara 4, CDM na CUF hakuna

Nchi ikiwa na taasisi imara zenye kusimamia utawala bora ,udikiteta hautakuwepo asilani, udikiteta unaletwa na one person show, sikiliza matamko yote ya viongozi wa sasa wa ccm ni kumtukuza president, na hili ni kosa maana miradi inaletwa na serikali ya CCM sio President Samia ,utasikia PM akitamka kuwa president ameleta fedha zitumike hapa !huu ni uongo maana zile fedha sio za president!,mkuu umeshatembelea Botswana, Namibia na SA ona jinsi taasisi zao zinavyofanya kazi kiuhuru na kuboresha utawala bora!,ex SA president ana kesi nyingi mahakamani, hii inaonyesha hakuna aliye juu ya sheria, naye anataka kumfungulia mashitaka sitting president!,je hili linaweza tokea hapa nchini?,definitely it's a No
 
Umejibu vyema, hizi Simblisi za CCM bure kabisa

..halafu imewahi kutokea mtu aliyeutaka Uenyekiti wa Chadema kuhamia Ccm baada ya kuukosa.

..katika mazingira hayo kwanini usiwapongeze wajumbe wa Chadema kwa kuona mbali na kumrudisha Mbowe ktk nafasi ya Mwenyekiti?
 
Wakati unawasisitiza hivyo Chadema unaweza pia kuendelea kuwasisitiza watawala kuhusu katiba mpya kwa ajili ya Raia wote wenye vyama na wasio na vyama. Au unao huo uzi pia tayari??.
Maadam CCM ndio watawala, na ilani ya CCM ya 2015 2020 ilikuwa na hoja ya katiba mpya, akatokea mtu akasema "katiba mpya sio kipaumbele changu", mimi hawa ndio nilianza nao, Kitendo cha Kukiuka Ilani ya CCM Bila Kikao Chochote, Sio Udikiteta?

Wakati tunajiandaa kwa uchaguzi na katiba mbovu hii iliyopo nikawasisiza Ombi Maalum, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020, Uendeshwe kwa Ceteris Peribus, Sio Kwa Mutatis Mutandis. Tutabarikiwa!

Wakati tukiajiandaa kwa uchaguzi wa serikali za mitaa tukashuudia zile figisu, militia neno Ushindi mtamu ni ushindani katika uwanja sawa, sio ule wa mezani. Magufuli, kasi yako ni ushindi wa kishindo. Ruhusu ushindani wa haki, sawa na wazi humo nilieleza,
Tusizungumzie kilichotokea uchaguzi wa 2020 ila Samia nae tunamweleza sana tuu Asante Mungu kwa Rais Samia: Ni Msema Kweli na Mtenda Kweli, Ni Msema Haki na Mtenda Haki. Je, Ataruhusu Ubatili Huu Kuendelea Ndani ya Katiba Yetu?
P
 
Leo umeamka vizuri, nakutakia Noel Njema
 
Nyerere alikaa na uenyekiti miaka mingapi?Hujengi chama kipya cha siasa kwa kubadili mwenyekiti kila miaka minne na unashindana na chama dola.
 
Ni kweli ccm hubadilisha kwa kuteua hakuna demokrasia.
 
Hivi uwenyekiti mtu ana
Hivi uwenyekiti mtu anajiweka?kama katiba za vyama vyao zinaruhusu tatizo liko wapi?.
 
hao wenyeviti wenu huko ccm waligombea na nani
 
Hao viongozi wa vyama vya upinzani unaosema wanang'ang'ania madaraka vyama vyao msimamizi wao ni msajiri wa vyama vya siasa ambaye ni mteule wa Rais ambaye ni mwenyekiti wa chama chenye kwa nini msimshauri avifute vyama hivyo ambavyo vina wenyeviti wale wale kinyume cha matakwa yenu?Naanza kuamini jukwaa hili lina watu wapuuzi sana
 
Naamini vyama vya upinzani vina chawa wengi
 
Muhimu siyo kubadili bali kufuata katiba. Sema kama hao CHADEMA na CUF wamekiuka katiba zao.
 
Subiri mvua za matusi na kejeli kutoka kwa wanademokrasia uchwara.
 
..Ni kwasababu Maraisi wamebadilika kati ya 95 na 2021.

..Mbona wakati wa Mwalimu Nyerere ambapo Raisi hakubadilika Ccm haikubadili Mwenyekiti?
Ili uwe mwenyekiti ccm ni lazima uwe rais Sasa swali ni lini ccm imewahi kum-badili mwenyekiti ,nafasi ya mwenyekiti ccm niyakudumu Hadi pale watakafanya tofauti ,chadema imefanya kinyume chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…