Toka 2000 CCM imebadili Wenyeviti mara 4, CDM na CUF hakuna

Mia mia
 

Imebadili wenyeviti zaidi ya wanne kama fashion, lakini tabia zimebaki zile zile kutegemea mbeleko ya vyombo dola
 
Katiba yao Ina mapungufu gani? na mapungufu hayo yanatuhusu Nini sisi wengine. Kama anajadili hoja za msingi ziwekwe kwenye katiba ya Nchi, hayo ya chama Chao yanatuhusu Nini sisi. Lakini pia katiba ya nchi Ina uhusiano gani na katiba ya chama Cha siasa? Yaani msomi Kama wewe unatoa hoja dhaifu. Unataka kuamini bila katiba imara za vyama hatuwezi kupata katiba ya Nchi. ? Au rasimu ya WARIOBA ilitola wapi?
 
Katiba vya vyama lzm zifuate katiba mama ya nchi - acheni kujipofusha jmn
Kwani katiba mama inasemaje kuhusu ukomo wa uongozi kwenye vyama vya siasa? Na nikwenye sura GANI na kifungu GANI kilicho kwenye ukurasa GANI wabkatiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania?! Naomba kujuzwa.
 
Wa chadema siyo mwenyekiti ni mfalme. Alirithi ufalme toka kwa baba mkwe wake, baada ya kushikiwa na Bob kwa muda akiwa bado mdogo.
 
CCM so far imekuwa na Mwenyekiti Mmoja tu tangia izaliwe, nae ni Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
 
CCM ni Chama cha Mumiani, Chama cha Majangili
Chama cha Mambuzi
 
Wee toka ulivyozaliwa babaako alishabadili wake zake mara ngapi? Kama tumbo linakuuma wahi chooni usije chafuka na ya vyama vya upinzani yaache kama yalivyo
 
Tofauti ni kwamba CDM, CUF na NCCR wanachagua Mwenyekiti wao wao wenyewe. CCM wanapandikiziwa Mwenyekiti na serikali.
 

Mbona hulalamiki tangu Uhuru ni CCM wanaongoza tu? Tena kwa kuiba kura? Anzia hapo kwanza.
 
Tabia ya mtu huonekana tangu utotoni hata kwa viongozi ni hivyo hivyo

Tuna anzia kuwa jua kwenye nyadhifa ndogo ndogo
 
Tueleze maendeleo yaliofwa na ccm tuyaoni si ndio wanao chukua tozo?
 
Tueleze maendeleo yaliofwa na ccm tuyaoni si ndio wanao chukua tozo?
Maendeleo huyaoni?
Babu yako aliacha shule, barabara, umeme, maji, huduma za afya, maendeleo ya kisiasa, kiasi hiki?
 
Ushauri wa bure nenda kalalamike mahakamani au kwa msajili wa vyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…