Kuna pisi moja ya kirangi swala tano nilitoa mahari kabisa ili niizagamue tu kwa wakati utashangilia pale sahihi itakapo wekwa tu kwenye cheti , usije sema sijakufundisha mimi kaka yako.Kumbe kuna wanaume wanatoa mahari harakaharaka hivyoπ
Chukua tahadhali! Mambo yameenda haraka mno, usipigwe upofu na hizo hudumaUsiniombee mabaya.
Ha ha ha mkuu hausahau?Ndio yule anakusemesha kigumu gumu??
Kuna pisi moja ya kirangi swala tano nilitoa mahari kabisa ili niizagamue tu kwa wakati utashangilia pale sahihi itakapo wekwa tu kwenye cheti , usije sema sijakufundisha mimi kaka yako.
Amiina.View attachment 3011292
Hebu na mkabarikiwe ndoa yenye amani na furaha tele. Kajitahidi sana kuwa mke mwema kwake - ukamheshimu, kumsikiliza na kumjali. Dhoruba za kila aina zitakuja lakini kama upendo wenu umesimama katika misingi sahihi na upendo usio na mawaa, basi mtavuka!
View attachment 3011291
Kwa kuepuka zinaa ni bora kuharakisha ndoaKumbe kuna wanaume wanatoa mahari harakaharaka hivyoπ
Hakuna uchawi mkuu hizo ni propaganda π€£π€£Mkirogwa ndio mnaanza kutusumbua tukawachukulie mafuta kwa mwamposa ππ.. Ila kwa sasa endelea kujimwambafai "mafia" π
Unandaliwa unone none...Hadi nastaajabu jinsi mume wangu mtarajiwa alivobadilika na kuonesha upendo ambao sjwahi kuupata kutoka kwa mtu mwingine ispokuwa wazazi.
Iko hivi huyu kijana nimekutana nae nina kama mwezi na wiki na hii ni baada ya kujitunza kwa muda mrefu, Lakini Toka tumeingia kwenye mahusiano hakuwahi kunipa hata hamsini mbovu na mimi skuwahi kumuomba.
Nilikuwa najipa moyo nikasema labda ananipima lakini mpaka unatimia mwezi sjaona akinipa chochote.
Sasa wiki Moja iliyopita amenishangaza baada ya kunambia anataka kunioa,.binafsi skuamini nikajua labda ananitania, kumbe alikuwa serious na ameshajiandaa.
Basi nilivomuona Yuko serious nikampa muongozo ndani ya wiki hii akapeleka POSA.
Sasa Toka anipose amekuwa akinipa pesa na kunihudumia mpaka nashangaa yani naletewa zawadi Kila siku na Leo kanambia niseme nataka mahari Tsh ngapi, madai yake anasema hataki mwezi WA Saba uishe kabla hatujaoana
Binafsi nafarijika sana na namuomba mungu ndoa yetu ipite salama.
Kuna situation Fulani ka raha sana nakapitia.
TBH am so excited nimeamua ni ka share na ninyi
Mwanaume akiwa na malengo na wewe kumbe anakuhudumia hiviπ€