Toka amenitolea posa amebadilika sana

Toka amenitolea posa amebadilika sana

Huu ugonjwa wanawake mkija kuuacha ndipo mtaanza kuwaelewa wanaume kwa uhalisia wao.

Unaanzaje kulalamika mwanaume hajakupa hata mia, haya mambo mbona mnatia aibu aisee. Yaani favor au jambo la dharula kwako unataka iwe ni compulsory payment kwa mtoto wa mwenzako na asipokupa unajiona kabisa una uhalali wa kumdai as if una ustahiki na uhalali wa kumdai? [emoji848]

Huwa najiuliza why huwa mnaendekeza kitu ambacho unajua kabisa mtu anaona ukakasi kukifanya?

Ninyi mbona kuna vitu tukiwaambia mvifanye mnakuwa wabishi na mwisho wa siku mnajitetea sana? [emoji848]

Mnazingua sana.


Sasa kama wewe ungemuona jamaa ni bahiri ukaenda kumtafuta mtu mwingine ungekiona cha mtema kuni huko mbeleni.
 
Screenshot_20240607_181508_Samsung Internet.jpg

👉👉👉 Hebu na mkabarikiwe ndoa yenye amani na furaha tele. Kajitahidi sana kuwa mke mwema kwake - ukamheshimu, kumsikiliza na kumjali. Dhoruba za kila aina zitakuja lakini kama upendo wenu umesimama katika misingi sahihi, basi mtavuka!

downloadfile-21.jpg
 
Kuna pisi moja ya kirangi swala tano nilitoa mahari kabisa ili niizagamue tu kwa wakati utashangilia pale sahihi itakapo wekwa tu kwenye cheti , usije sema sijakufundisha mimi kaka yako.

Mkirogwa ndio mnaanza kutusumbua tukawachukulie mafuta kwa mwamposa 😁😁.. Ila kwa sasa endelea kujimwambafai "mafia" 😁
 
Hadi nastaajabu jinsi mume wangu mtarajiwa alivobadilika na kuonesha upendo ambao sjwahi kuupata kutoka kwa mtu mwingine ispokuwa wazazi.

Iko hivi huyu kijana nimekutana nae nina kama mwezi na wiki na hii ni baada ya kujitunza kwa muda mrefu, Lakini Toka tumeingia kwenye mahusiano hakuwahi kunipa hata hamsini mbovu na mimi skuwahi kumuomba.
Nilikuwa najipa moyo nikasema labda ananipima lakini mpaka unatimia mwezi sjaona akinipa chochote.

Sasa wiki Moja iliyopita amenishangaza baada ya kunambia anataka kunioa,.binafsi skuamini nikajua labda ananitania, kumbe alikuwa serious na ameshajiandaa.
Basi nilivomuona Yuko serious nikampa muongozo ndani ya wiki hii akapeleka POSA.

Sasa Toka anipose amekuwa akinipa pesa na kunihudumia mpaka nashangaa yani naletewa zawadi Kila siku na Leo kanambia niseme nataka mahari Tsh ngapi, madai yake anasema hataki mwezi WA Saba uishe kabla hatujaoana

Binafsi nafarijika sana na namuomba mungu ndoa yetu ipite salama.

Kuna situation Fulani ka raha sana nakapitia.
TBH am so excited nimeamua ni ka share na ninyi

Mwanaume akiwa na malengo na wewe kumbe anakuhudumia hivi🤔
Unandaliwa unone none...
 
Back
Top Bottom