Toka amenitolea posa amebadilika sana

Hakuna uchawi mkuu hizo ni propaganda 🤣🤣
Nitumie nywele ya utosi na mchanga wa unyayo wako ili niwapelekee wazee wa kazi, kuwa kijana anasema ulozi haupo mpeni demonstration akae sawa 😁😁😁

Utachoamua kuamini ni sawa ila sio sawa kuumiza wengine beyond repair ili ujipe raha kwa muda mfupi. Though najua unachangamsha genge mkuu 😁
 
Huo uchawi kama upo mwambie mzee wa kazi afanye kazi yake hata bila nywele ili tujue ni mwamba kwel😁😁
 
Duuu mwezi na wiki 2 baada ya kujituza kwa muda mrefu
Huyu ndio yule mchizi mwenye lugha ngumu….
Akimaliza kula anakula tena?
🤗🤗🤗
 
Vijana bado wanatusaliti na kuoa.

Anyway, Kila la kheri kwenu ila kama mambo yakiwa magumu basi sisi kama Chama cha KATAA NDOA tutampokea tena mwana msaliti.
 
Shida ninayoiona hiko hapa
"....... kabla hatujaoana"
Kwahiyo mnaoana? Sio anakuoa? Hapo tegemea ndondi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…