Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee ndio maana ni chapu hamunaga gharamaYes.
Nitumie nywele ya utosi na mchanga wa unyayo wako ili niwapelekee wazee wa kazi, kuwa kijana anasema ulozi haupo mpeni demonstration akae sawa 😁😁😁Hakuna uchawi mkuu hizo ni propaganda 🤣🤣
Huo uchawi kama upo mwambie mzee wa kazi afanye kazi yake hata bila nywele ili tujue ni mwamba kwel😁😁Nitumie nywele ya utosi na mchanga wa unyayo wako ili niwapelekee wazee wa kazi, kuwa kijana anasema ulozi haupo mpeni demonstration akae sawa 😁😁😁
Utachoamua kuamini ni sawa ila sio sawa kuumiza wengine beyond repair ili ujipe raha kwa muda mfupi. Though najua unachangamsha genge mkuu 😁
Nitumie picha yako pm ili nikushughulikieHuo uchawi kama upo mwambie mzee wa kazi afanye kazi yake hata bila nywele ili tujue ni mwamba kwel😁😁
Picha yangu ungeijua tu bila hata kutumiwa kama kuna uchawi😁Nitumie picha yako pm ili nikushughulikie
Uchawi una process kila kitu kina processPicha yangu ungeijua tu bila hata kutumiwa kama kuna uchawi😁
Ndio maana nikasema ni propaganda tu ,ngoja siku nikija huko nitakutafuta uniloge kwa ukaribu zaidi😊Uchawi una process kila kitu kina process
Tuma picha hiyo nikupige kitu
Duuu mwezi na wiki 2 baada ya kujituza kwa muda mrefu
Huyu ndio yule mchizi mwenye lugha ngumu….Hadi nastaajabu jinsi mume wangu mtarajiwa alivobadilika na kuonesha upendo ambao sjjawahi kuupata kutoka kwa mtu mwingine ispokuwa wazazi.
Iko hivi huyu kijana nimekutana naye nina kama mwezi na wiki na hii ni baada ya kujitunza kwa muda mrefu, Lakini toka tumeingia kwenye mahusiano hakuwahi kunipa hata hamsini mbovu na mimi skuwahi kumuomba.
Nilikuwa najipa moyo nikasema labda ananipima lakini mpaka unatimia mwezi sjaona akinipa chochote.
Sasa wiki Moja iliyopita amenishangaza baada ya kunambia anataka kunioa,.binafsi skuamini nikajua labda ananitania, kumbe alikuwa serious na ameshajiandaa.
Basi nilivomuona yuko serious nikampa muongozo ndani ya wiki hii akapeleka POSA.
Sasa toka anipose amekuwa akinipa pesa na kunihudumia mpaka nashangaa yani naletewa zawadi kila siku na leo kanambia niseme nataka mahari Tsh ngapi, madai yake anasema hataki mwezi WA Saba uishe kabla hatujaoana
Binafsi nafarijika sana na namuomba Mungu ndoa yetu ipite salama.
Kuna situation Fulani ka raha sana nakapitia.
TBH am so excited nimeamua ni ka share na ninyi
Mwanaume akiwa na malengo na wewe kumbe anakuhudumia hivi🤔
kaja kivingne tena 😀😂 yuko kwenye nchakatoMbona siku hz 'ua la kipekee' kapotea sana?
Kavaa nguo zingine🤣🤣ntoto nkyndu kwel lilekaja kivingne tena 😀😂 yuko kwenye nchakato
🤣😂 ntoto anataka kupelekewa mboloshiii uyuKavaa nguo zingine🤣🤣ntoto nkyndu kwel lile
🤣🤣🤣🤣 Kudadadaqe🤣😂 ntoto snata kupelekewa mboloshiii uyu
nshenzi uyuu🤣🤣🤣🤣 Kudadadaqe
Shida ninayoiona hiko hapaHadi nastaajabu jinsi mume wangu mtarajiwa alivobadilika na kuonesha upendo ambao sjjawahi kuupata kutoka kwa mtu mwingine ispokuwa wazazi.