Toka amenitolea posa amebadilika sana

Namwonea huruma kijana akijiingiza kufunga ndoa ,ila huwa tuna hudumia hata tusipo kuwa na malengo ya ndoa mkuu, kumtupia jogoo vijimahindi ili umchinje huwa ni jambo la kawaida mkuu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hongera Yako.
 
Ila mtaachana tu.
 
Namfahamu vizuri. Sio Mimi tu hata ndugu zangu wanamfahamu vizuri pia..yote Tisa, kumi ni staff mate na bro wangu.

staff mate na bro wangu. πŸ‘‰ Kua mfanyakazi mwenza wa kaka haihusiani kabisa na MAISHA YENU ya NDOA 😁
 
Iko hivi, huyu kijana nimekutana naye nina kama mwezi na wiki, na hii ni baada ya kujitunza kwa muda mrefu. Lakini toka tumeingia kwenye mahusiano, hakuwahi kunipa hata hamsini mbovu na mimi sikuwahi kumuomba.
Kuna mtu atapigwa na kitu kizito kichwani muda sio mrefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…