Toka amenitolea posa amebadilika sana

Toka amenitolea posa amebadilika sana

Hadi nastaajabu jinsi mume wangu mtarajiwa alivobadilika na kuonesha upendo ambao sjjawahi kuupata kutoka kwa mtu mwingine ispokuwa wazazi.

Iko hivi huyu kijana nimekutana naye nina kama mwezi na wiki na hii ni baada ya kujitunza kwa muda mrefu, Lakini toka tumeingia kwenye mahusiano hakuwahi kunipa hata hamsini mbovu na mimi skuwahi kumuomba.
Nilikuwa najipa moyo nikasema labda ananipima lakini mpaka unatimia mwezi sjaona akinipa chochote.

Sasa wiki Moja iliyopita amenishangaza baada ya kunambia anataka kunioa,.binafsi skuamini nikajua labda ananitania, kumbe alikuwa serious na ameshajiandaa.

Basi nilivomuona yuko serious nikampa muongozo ndani ya wiki hii akapeleka POSA.

Sasa toka anipose amekuwa akinipa pesa na kunihudumia mpaka nashangaa yani naletewa zawadi kila siku na leo kanambia niseme nataka mahari Tsh ngapi, madai yake anasema hataki mwezi WA Saba uishe kabla hatujaoana

Binafsi nafarijika sana na namuomba Mungu ndoa yetu ipite salama.

Kuna situation Fulani ka raha sana nakapitia.
TBH am so excited nimeamua ni ka share na ninyi

Mwanaume akiwa na malengo na wewe kumbe anakuhudumia hivi🤔
Hongera Yako.
 
Hadi nastaajabu jinsi mume wangu mtarajiwa alivobadilika na kuonesha upendo ambao sijawahi kuupata kutoka kwa mtu mwingine isipokuwa wazazi.

Iko hivi, huyu kijana nimekutana naye nina kama mwezi na wiki, na hii ni baada ya kujitunza kwa muda mrefu. Lakini toka tumeingia kwenye mahusiano, hakuwahi kunipa hata hamsini mbovu na mimi sikuwahi kumuomba.

Nilikuwa najipa moyo nikasema labda ananipima, lakini mpaka unatimia mwezi sijaona akinipa chochote.

Sasa wiki moja iliyopita amenishangaza baada ya kunambia anataka kunioa. Binafsi sikuamini, nikajua labda ananitania, kumbe alikuwa serious na ameshajiandaa.

Basi nilipomuona yuko serious, nikampa muongozo ndani ya wiki hii akapeleka posa.

Sasa toka anipose amekuwa akinipa pesa na kunihudumia mpaka nashangaa, yaani naletewa zawadi kila siku na leo kanambia niseme nataka mahari Tsh ngapi. Madai yake anasema hataki mwezi wa saba uishe kabla hatujaoana.

Binafsi nafarijika sana na namuomba Mungu ndoa yetu ipite salama.

Kuna situation fulani ka raha sana nakapitia.

TBH, I am so excited nimeamua ni ka share na ninyi.

Mwanaume akiwa na malengo na wewe kumbe anakuhudumia hivi 🤔.
Ila mtaachana tu.
 
Namfahamu vizuri. Sio Mimi tu hata ndugu zangu wanamfahamu vizuri pia..yote Tisa, kumi ni staff mate na bro wangu.

staff mate na bro wangu. 👉 Kua mfanyakazi mwenza wa kaka haihusiani kabisa na MAISHA YENU ya NDOA 😁
 
Iko hivi, huyu kijana nimekutana naye nina kama mwezi na wiki, na hii ni baada ya kujitunza kwa muda mrefu. Lakini toka tumeingia kwenye mahusiano, hakuwahi kunipa hata hamsini mbovu na mimi sikuwahi kumuomba.
Kuna mtu atapigwa na kitu kizito kichwani muda sio mrefu
 
Back
Top Bottom