Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Wafukua makaburi hampo nyuma kuweka kumbukumbu sawa..😃Ndio yule anakusemesha kigumu gumu??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wafukua makaburi hampo nyuma kuweka kumbukumbu sawa..😃Ndio yule anakusemesha kigumu gumu??
Wasemavyo uchumba na ndoa ni hua tofauti sana...Amen kila la kheri kwake!
Ila akae kwa step sometimes upepo hubadilika lo!
Hapa hakuna mwanamke yani anatumia lugha za ki gangster hiviNatimba hapo mda uko pande zipi😁
😂😂😂😂Namwonea huruma kijana akijiingiza kufunga ndoa ,ila huwa tuna hudumia hata tusipo kuwa na malengo ya ndoa mkuu, kumtupia jogoo vijimahindi ili umchinje huwa ni jambo la kawaida mkuu.
Hongera Yako.Hadi nastaajabu jinsi mume wangu mtarajiwa alivobadilika na kuonesha upendo ambao sjjawahi kuupata kutoka kwa mtu mwingine ispokuwa wazazi.
Iko hivi huyu kijana nimekutana naye nina kama mwezi na wiki na hii ni baada ya kujitunza kwa muda mrefu, Lakini toka tumeingia kwenye mahusiano hakuwahi kunipa hata hamsini mbovu na mimi skuwahi kumuomba.
Nilikuwa najipa moyo nikasema labda ananipima lakini mpaka unatimia mwezi sjaona akinipa chochote.
Sasa wiki Moja iliyopita amenishangaza baada ya kunambia anataka kunioa,.binafsi skuamini nikajua labda ananitania, kumbe alikuwa serious na ameshajiandaa.
Basi nilivomuona yuko serious nikampa muongozo ndani ya wiki hii akapeleka POSA.
Sasa toka anipose amekuwa akinipa pesa na kunihudumia mpaka nashangaa yani naletewa zawadi kila siku na leo kanambia niseme nataka mahari Tsh ngapi, madai yake anasema hataki mwezi WA Saba uishe kabla hatujaoana
Binafsi nafarijika sana na namuomba Mungu ndoa yetu ipite salama.
Kuna situation Fulani ka raha sana nakapitia.
TBH am so excited nimeamua ni ka share na ninyi
Mwanaume akiwa na malengo na wewe kumbe anakuhudumia hivi🤔
Mimi ni msheku mkuu mambo ya pm kwangu ni kama kitendawili, sielewinjoo PM kwanza
duu usikute naongea na mkubwa au pisi la mtu au boss wangu, pipiiiiiii kwa heriMimi ni msheku mkuu mambo ya pm kwangu ni kama kitendawili, sielewi
Mattakko ya shangaz yako jombii😂Mkubwaa we ndo unakwamisha zoezi mie sina mbambamba mbona.
Fanya jambo nifanye maajabu jombii
Ila mtaachana tu.Hadi nastaajabu jinsi mume wangu mtarajiwa alivobadilika na kuonesha upendo ambao sijawahi kuupata kutoka kwa mtu mwingine isipokuwa wazazi.
Iko hivi, huyu kijana nimekutana naye nina kama mwezi na wiki, na hii ni baada ya kujitunza kwa muda mrefu. Lakini toka tumeingia kwenye mahusiano, hakuwahi kunipa hata hamsini mbovu na mimi sikuwahi kumuomba.
Nilikuwa najipa moyo nikasema labda ananipima, lakini mpaka unatimia mwezi sijaona akinipa chochote.
Sasa wiki moja iliyopita amenishangaza baada ya kunambia anataka kunioa. Binafsi sikuamini, nikajua labda ananitania, kumbe alikuwa serious na ameshajiandaa.
Basi nilipomuona yuko serious, nikampa muongozo ndani ya wiki hii akapeleka posa.
Sasa toka anipose amekuwa akinipa pesa na kunihudumia mpaka nashangaa, yaani naletewa zawadi kila siku na leo kanambia niseme nataka mahari Tsh ngapi. Madai yake anasema hataki mwezi wa saba uishe kabla hatujaoana.
Binafsi nafarijika sana na namuomba Mungu ndoa yetu ipite salama.
Kuna situation fulani ka raha sana nakapitia.
TBH, I am so excited nimeamua ni ka share na ninyi.
Mwanaume akiwa na malengo na wewe kumbe anakuhudumia hivi 🤔.
SawaNdo yule yule.
Namfahamu vizuri. Sio Mimi tu hata ndugu zangu wanamfahamu vizuri pia..yote Tisa, kumi ni staff mate na bro wangu.
Kuna mtu atapigwa na kitu kizito kichwani muda sio mrefuIko hivi, huyu kijana nimekutana naye nina kama mwezi na wiki, na hii ni baada ya kujitunza kwa muda mrefu. Lakini toka tumeingia kwenye mahusiano, hakuwahi kunipa hata hamsini mbovu na mimi sikuwahi kumuomba.