Toka awamu ya kwanza Mwl Nyerere, hadi Dkt Samia, Wilaya na Mkoa gani haujatoa Naibu au Waziri?

Toka awamu ya kwanza Mwl Nyerere, hadi Dkt Samia, Wilaya na Mkoa gani haujatoa Naibu au Waziri?

nyumbamungu

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2017
Posts
1,033
Reaction score
895
Mwenye takwimu naomba anitakwimishe, toka miaka ya 60' utawala wa Mwl Julius Kambarage Nyerere (R.i.p)wilaya gani au jimbo gani la uchaguzi haijabahatika kutoa Naibu au Waziri.
 
Nahisi wilaya ya sumbawanga vijijini ambayo inaundwa na jimbo la kwela Ambalo liliongozwa kwa miaka mingi sana na marehemu Chrisant maji ya Tanga Mzindakaya nahisi wilaya hiyo na jimbo hilo halijawahi kutoa waziri wala naibu waziri. nipo tayari kurekebishwa kama kumbukumbu zangu zitakuwa hazipo sahihi.
 
Abdulrahman Kinana alikuwa Mbunge Arusha pia aliteuliwa N W Ulinzi, nipo sahihi?
 
Mwenye takwimu naomba anitakwimishe, toka miaka ya 60' utawala wa Mwl Julius Kambarage Nyerere (R.i.p)wilaya gani au jimbo gani la uchaguzi haijabahatika kutoa Naibu au Waziri.
Nilidhani utaongelea ubora, kumbe ni Kila Mkoa uridhishwe!
 
Back
Top Bottom