Nahisi wilaya ya sumbawanga vijijini ambayo inaundwa na jimbo la kwela Ambalo liliongozwa kwa miaka mingi sana na marehemu Chrisant maji ya Tanga Mzindakaya nahisi wilaya hiyo na jimbo hilo halijawahi kutoa waziri wala naibu waziri. nipo tayari kurekebishwa kama kumbukumbu zangu zitakuwa hazipo sahihi.