Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

Mimi ndio raisi magufuli acha nikwambie kitu
Mimi naongozwa na sheria
Hayo mnayoyataka sio ya kukurupuka
Namkumbuke kuwa hawa vigogo ni wajanja na kipindi wanaiba wanatumia formula za kukwepa mkono wa sheria

Tuanzishe na hii mahakama ya mafisadi
Mashauri yote ytasikilizwa
Nawahakikishia Hakuna atakayeponyoka
Na uzuri ni kuwa mwanasheria na jaji wamenihakikishia hawana ushirika n watu hawa
Asante
Take a note
Hiyo sheria ya mahakama ya mafisadi imeidhinishwa na nani?au ni presdential decree?
Bila bunge kupitisha vitu kama hivyo itawezekanaje?
 
Hiyo sheria ya mahakama ya mafisadi imeidhinishwa na nani?au ni presdential decree?
Bila bunge kupitisha vitu kama hivyo itawezekanaje?
Mahakama hii itakuwa chini ya mahakama kuu

Kama ilivo mahakama ya ardhi au ya malalamiko
Mashauri yatapelekwa na mwendesha mashtaka wa serikali
Vyombo vya usalama vipi macho
Wananchi mtuunge mkono
 
Mahakama hii itakuwa chini ya mahakama kuu

Kama ilivo mahakama ya ardhi au ya malalamiko
Mashauri yatapelekwa na mwendesha mashtaka wa serikali
Vyombo vya usalama vipi macho
Wananchi mtuunge mkono
Kwaiyo kwamustakabaki huu inamaana washtakuwa watakao tiwa hatiani kutika hizi mahakama za kifisadi wataweza kukata rufaa mahakama ya rufaa kama kawaida?
 
TRA and FeDex issue at Dar Airport:

Nilikuwa napenda kujua kama kuna mwenye this experience anapotuma mzigo kwenda Dar na kuandikiwa ridiculous tax invoice isiyolingana na thamani ya mzigo? Kuna matukio mawili hivi: Mosi kuna siku nilikuma mzigo una thamani ya $278 na uzito wa 21 pounds, ulipofika Fedex Dar wakadai nitoe Tsh. 50,000/= processing fee na 200,000/= ya kulipa agent afanye clearance ya mzigo airport. Pili kuna mzigo mwingine nimetuma kwenda Dar kwa njia ya Fedex una thamani ya $625 na uzito wa pound 23, Fedex wakanambia upo Customs ya TRA airport, zinahitajika tsh. 50,000/= processing fee ya Fedex na Tsh.470,000/= (Laki 4 na Sabini Elfu) kuutoa mzigo kwenye custom ya TRA airport.

Kinachonishangaza, kuna rafiki yangu nipo nae hapa New York alituma mzigo wake wenye thamani na uzito sawa na scenerio namba 1 kwa Fedex kwenda Morogoro akautoa kwa kulipia Tsh. 30,000/= (Thelasini elfu tu). Ninachojiuliza, Je issue ni Fedex au custom ya TRA au kitu kingine zaidi? Mbona nikituma kwa njia ya USPS mizigo yenye thamani na uzito wa ranges kama nilizozitaja hapo juu na ikifika Posta ya Dar, wanachaji siyo zaidi ya Tsh. 10,000/= (Elfu kumi tu)?

Kingine kinachonishangaza zaidi kuna mzigo mwingine wa thamani ya euro 700 na uzito wa kg 25, niliouagiza hivi karibuni toka Germany kwa njia ya DHL, umefika Dar na ukakombolewa kwa Tsh. 2,800/= (Elfu mbili na mia nane tu).

Ninachojiuliza, je issue ni Fedex au Custom ya TRA airport au something else nisichokijua? Je ni nani yupo sahihi ( kwenye makato ya kutoa mizigo ) kati ya Fedex na TRA aiport kwa upande mmoja na Shirika la Posta na DHL Dar kwa upande mwingine?

Binafsi nahisi kama kuna kitu hakipo sawa hapo kwenye custom ya TRA airport, kuna kama kamchezo kanachezwa kutuibia kwa kutubambikia kodi zisizo na kichwa wala miguu. Kwa mfano sioni sababu ya Fedex na TRA kulazimisha agent alipwe pesa za kuutoa mzigo wakati unaweza kutolewa na mpokeaji kwa kufanya malipo ya kodi kwenye custom za TRA airport bila kumtumia agent.

Natanguliza shukrani kwa wale watakao share experience zao kwenye hii issue.

Kinyasi Monyi
Rochester, NY.
05/05/2016
 
Wakuu habari za asubuhi,

Mh.Rais Magufuli na wasaidizi wake wameanza kasi nzuri katika kusafisha serikali. Lakini tunachoshangaa wananchi watendaji tena wengi wa ngazi za chini ndio tu nasikia wanasimamishwa kazi na kupeleka mahakakani.

Sasa Mimi nahoji Je Mh.Magufuli majipu makubwa ya "kitaifa" kama Vigogo waliochota fedha kwenye akaunti ya escrow unawaogopa.? Kama kweli umeamua kuwa mtenda haki na siyo mnafiki Mkuu tunakuomba Ulitumbuwe hili maana si jipu ni tambazi.

Ni hayo tu .

Kama hujui sio lazima nawe useme kwa kufuata mkumbo unatia kinyaa kwa udhaifu wa ulichokiandika
 
mtendaji wa Serikal wizara ya Fedha kwa Jina Ingiahedi Mduma huyu ni jipu ambalo linafaa kutumbuliwa haraka sana kwa ustawi wa jamii.ananuka rushwa,matumizi mabaya ya madaraka/ofisi kwa maslahi yake binafsi na familia yake.

taarifa zake zilifikishwa ofisi ya DPP kwa uchunguzi zaidi lakini inaelekea ofisi ya DPP wamefunika report hyo

Takukuru bila shaka taarifa zake wanazo pia

rushwa ni adui wa haki na utumishi serikalini ni kazi ya wito!!

Amefanya nini, weka wazi na sio majungu yasiyoshikika kwa chuki zako binafsi
 
labda nawewe utakua unafaidika na maovu yake

Huu si uwanja wa majungu, watu wapo serious kujenga nchi, sema, anika hayo maovu yake hapa yajulikane, sio kuandika andika majina ya watu pasipo kusema lolote la maana unaishia kusema tu maovu maovu, yaseme hapa moja,mbili tatu, la sivyo wewe ni mzandiki tu kwani mimi kunufaika na maovu yake hakubadilishi ukweli kama anayo anayoyafanya. Jiamini, acha uoga
 
mwambieni awakumbuke watumishi wa umma mwezi wa 7 kwa nyongeza nzuri ya mshahara, morali ipo chini sana na watu wanajituma sana kufanya kazi.wafanyakazi ndio serikali, wanasiasa ni waratibu tu wa kinachofanywa na watumishi.
 
Hii benki ya DCB imepewa dhamana ya kuwakopesha wajasiliamari vijana na wakina mama.tumeambiwa wilaya ya kinondoni imepewa milion 200 ili iwakopeshe hao watu.lakini mashariti yake ni makubwa sana kiasi kwamba ni kumkomoa mwananchi na si kumuinua

Inabidi uweke 80000 kwa mwezi mzima,na ufungue account na ni 28000/= ndipo unapewa 328000.sasa jamani mi nakopa hela harafu unaniambia nikupe kwanza hela hiyo si ni rushwa?
 
Huduma za hapa Bugando Mwanza zimekuwa za ajabu sana. Imagine mtoto mdogo anazungushwa kupigwa dana dana utafikiri mpira wa makaratasi?

Huduma mbovu hapa mlimani tunaomba mjirekebishe. Mmezidi
 
Kunamajipu mengi VETA MZA, uozo nimkubwa mno. Tunaomba wahusika waisaidie jamii ya vijana wetu wanaosoma hapo. Mfano, baada ya mitihani kunawatendaji wanaweza kuingia ktk system ya matokeo nakubadilisha matokeo kulingana na wanavyotaka wao, hapo utakuta kama kunabinti aliombwa ngono akawa mbishi kutoa atafelishwa kabisa. Lkn pia uongozi umejisahau kabisa, kila mtu ni MUNGU MTU ktk idara yake, mkurugenzi wa kanda amejaribu kupigana na uozo huu lkn nadhani nae ameshindwa kwakuwa aliyowakuta wameshaweka mizizi haramu hivyo kukosa support yao. Wanafanya kazi kimazoea, kadri wanavyojisikia. Mamlaka mulikeni centre hii.
 
Naomba nichukue fursa hii kumpongeza Mheshimiwa Rais kwa kazi nzuri anayoifanya ili kulikomboa taifa letu fukara. Najua nchi hii tukimuachia Rais peke yake hataiweza kamwe kwani kunachangamoto kubwa sana za kitaifa ambazo tumezilea kwa muda mrefu sana kama taifa na hivyo kuwa donda ndugu kwa maendeleo na mustakabali wa taifa letu. Mfano mafisadi na wala rushwa ambao wametamalaki katika taifa hili toka ngazi za juu hadi chini.
Rais kwa kumtazama jinsi anavoongea na kutenda inaonyesha ana nia ya dhati kabisa ya kulikomboa taifa hili. Ila katikati ya kulikomboa taifa anamaadui wengi waliokuwa wakinufaika na mfumo mbovu wa uongozi wa taifa hili. Maadui hao wapo ndani ya CCM na wengine wapo nje ya CCM hili ndugu zangu lazima tulijue bila ubishi, pia na Mheshimiwa Rais analijua hilo.
Kumjua adui ni jambo moja na kupambana naye ni jambo jingine.
Mheshimiwa Rais mimi binafsi namuomba Mungu akujalie hekima na busara zaidi ili wewe nasi wananchi kwa ujumla wetu tushirikiane tuipeleke nchi yetu mbele; Pia Watanzania tuweke itikadi zetu zote pembeni zikiwepo za kisiasa, kidini na kikabila. Najua katikati ya juhudi za kulikomboa taifa ADUI ni wengi sana hasa wanufaika wa mfumo uliotufikisha hapa, lakini kwa umoja wetu kama taifa tutashinda.
Mimi binafsi ni mwanachama wa CHADEMA lakini nachokiomba upinzani kwa ujumla tusiendeshe siasa kama ushabiki wa Simba na Yanga. Hili ni taifa hivyo vizazi vingi vyetu vitakuja na kustaajabu madudu tuliyokuwa tunayafanya kwa kutokua na mikakati yeyote ile zaidi ya ubishani tu. Kwa sasa si wakati wa kumvizia Rais na serikali yake wakosee ili kupata sehemu ya kuwakosoa, nacho kiomba tunapo ona mambo hayaendi ni wakati wa kumuona Rais na kutoa ushauri kabla janga halijatupata kama taifa vinginevyo Rais akatae huo ushauri. Naomba tuige siasa za watu wa Ulaya na Marekani. Ambapo wao baada ya chaguzi hurudi na kuwa kitu kimoja kujenga mataifa yao.
Pia CCM naomba muelewe kuwa sasa ni wakati wa kulijenga taifa imara kiuchumi na sio wakati wa kuchuma kupitia serikali. Tunacho mshukuru Mungu tumempata Rais anayesubutu kufanya anachokisema hivyo ni wakati wa kumwacha Rais awe huru na sio kumzonga Rais na kumpanda kichwani na kuliyumbisha taifa.
Rais tuliyempata sio Mungu hilo tulijue anamapungufu kama mwanadamu hivyo anahitaji washauri wazuri wenye nia njema wasio na hila , pia hawezi kugeuza hii nchi kwa siku moja hilo tulijue.
Mtanzania mwenzangu toa mawazo yako tumsaidie Rais kulijenga taifa letu.
 
Ushauri wangu mambo matatu (3) tu ambayo hayapo mbali nasi:-
Kiwanda cha kwanza ni... KILIMO ardhi kubwa tunayo!!
kiwanda cha pili ni........... UTALII vivutivo imeenea nchini kote!!
kiwanda cha tatu ni......... MADINI rasilami hii inahitajika duniani kote !!

serikali ijikite kuhamasisha na kuchangia kuwawezesha umma (49milioni TZ)
Hongera na Mungu ibariki Tanzania.
 
Mh.Magufuli haitaji maoni yenu kwani mlimpa maoni wakati anautafuta uraisi? Acheni kujipendekeza
 
Nikisema washauri wa kiuchumi wamefail kumshauri Rais.
Rais ana kauli mbiu yake ya nchi ya viwanda na nafikiri hii idea ingeanzia kwa viwanda vya sukari ambavyo kiuhalisia vipo na vinaoparate,kama tatizo la sukari tayari ni jipu na tuna viwanda ingekua bora akaanzia hivi viwanda kama mfano wa kuendeleza au kuanzisha vingine,kwa kifupi hii falsafa ya nchi ya viwanda tayari imeishaanza kupoteza uhalisia.
 
Mh.Magufuli haitaji maoni yenu kwani mlimpa maoni wakati anautafuta uraisi? Acheni kujipendekeza
Unachotakiwa kujua ni kuwa Rais anapochagulia na kuapa kuilinda katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania basi hapo anakua Rais wa nchi yote. Nikiwa na maana waliomchagua na wasio mchagua wote. Ndugu yangu sihitaji kujipendekeza kwa yeyote yule bali nachohitaji taifa letu liende mbele.Pole ni hilo tu mkuu
 
Kwa kuwa yeye anajua hesabu basi nitaongea naye kihesabu.

Let JPM Management = X
Let JK economic Policies = Y
Let JK tolerance = T
Let Harmony = H
Let development = D

X +Y = D.....................(1)
TH= Y.........................(2)

Make Y the subject
Y= D-X.......................(3)

Substitute (3) into (2)
TH=D-X
Make D the Subject.
TH+X = D

This equation obeys the linear line equation
y=mx+c

So This Means, for Development, JPM To succeed He needs JK era social Harmony And Tolerance Plus His own Management Style.

So far: He has failed or shown the signs of failing on the Tolerance Front forexample his Government has Curbed the Live broadcast of the Parliament which is understood that the move is merely for political reasons!
 
Back
Top Bottom