Nani aliyekwambia Mbunge kazi yake kujenga barabara?Huu ni uzi wa whistle blowers kama hamna barabara malizaeni na mbunge wenu hapa leteni nondo za mijitu inayoliibia taifa kwa namna yoyote ile au kama unafahamu mtu aliyejipatia mali kiudanganyifu au wauza ngada huu ndo uwanja wenu
huwa anasaidiwa mtu anayetaka kusaidiwa siyo huyu Makufuli mbishi na anajifanya kila kitu anajuaNdugu wana JamiiForums,
Nchi yetu imetafunwa mno na ni wakati sasa tuseme imetosha. Tumsaidie Rais Magufuli na Serikali yake kuweza kuzifahamu kero zetu za yanayotusumbua kama watanzania ambayo tungependa yafanyiwe kazi.
Karibuni sana.
MWONGOZO: Elezea jipu/kero yako na kama ina ufafanuzi wa kutosha (nani, wapi, lini, kivipi n.k) ukiambatana na nyaraka itapendeza zaidi.
Kero hizi zitachapwa na kupelekwa kwa mamlaka husika ili zifanyiwe ufuatiliaji.
wewe unamkubali siyo sisi. maana sisi wengine wenye akili tumeona udhaifu mkubwa wa Magufuli.Mheshimiwa Rais wetu John Pombe Joseph Magufuli, sisi watanzania wengi wetu tunaikubali kazi unayoifanya hasa katika kupambana na MABEPARI wa nje na VIBARAKA wake wa hapa ndani.
Tupo nyuma yako. Kwa pamoja tutashinda vita hivi. Kwa kuwa tumeamua kusonga mbele, basi tusirudishe nyuma majeshi.
Tusikubali hata kidogo kugeuka MAWE.
Haya mimi nimezoea kuyaita ni MABADILIKO CHANYA YA KIKEMIA (Positive chemical change ).
Tunapopita kwenye mabadiliko haya, humu njiani tutakutana na KONDOO,MBWAMWITU na MBWAMWITU WALIOVAA NGOZI YA KONDOO.
La muhimu zaidi ni kupambana mpaka mwisho. Maendeleo ya kiuchumi katika nchi yetu yanawezekana.
Mungu ibariki Tanzania.
Mungu umbariki Rais Magufuli na serikali yake.
wewe unamkubali siyo sisi. maana sisi wengine wenye akili tumeona udhaifu mkubwa wa Magufuli.
Siku Ambapo milio ya SMG itarindima kwenu ndio utatoa pongezi ya dhati,lakini kwa sasa bado unaisikia kwa kwa jirani utaachaje kutoa pongezi?PONGEZI KWA MHESHIMIWA RAIS NA SERIKALI YAKE KWA UJUMLA.
Napenda kutumia fursa hii kutoa pongezi za dhati kwa mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali yake kwa ujumla.
Kwa kweli mimi binafsi nampongeza sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali yake kwa ujumla kwa kazi nzuri sana na ngumu sana anayoifanya kwa ajili ya kulinda na kutetea rasilimali kuu za Taifa letu.
Lakini pia nampongeza kwa kazi nzuri sana ya ku deal na MAJIZI na MAFISADI yaliyokuwa yameshamiri katika nchi hii.
Baba wa Taifa mwl. Julius Kambarage Nyerere(Mwenyezi Mungu amrehemu) aliwahi kusema:
Nchi inapoingia kwenye vita kama hivi hujitokeza WAPUMBAVU/VIBARAKA wengi ambao kazi yao kubwa itakuwa ni:-
(1)Kuwatetea MAJIZI kutoka nje na hata kuungana nao.
(2)Kuifitinisha serikali na wananchi wake lengo lake likiwa ni kuifanya nchi kuwa katika taharuki muda wote.
(3)Kutengeneza matukio ya ovyo ili tu serikali iweze kulaumiwa na jamii mbalimbali zikiwemo za kimataifa.
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mimi naomba uendelee na msimamo huu huu. Hivi ndivyo ipendezavyo. KAMWE usiwape nafasi wapumbavu niliowataja hapo juu, wasije wakatuingiza shimoni.
MUNGU ibariki Tanzania, MUNGU wabariki vingozi wa nchi hii, uwalinde dhidi ya ovu lolote lile, uwajalie mshikamano na umoja wa kweli baina yao na hatimaye utujalie mafanikio makubwa ya kiuchumi hapa nchini. Amina.