CURIOSITY_200
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 320
- 260
Yaani wewe unamjua Magufuli halafu hujui anafanya nini? Huu utani...Mimi sikujua kwamba kuna kitu sikijui kuhusu Tanzania.
Hahaaa.
Yaani wewe unamjua Magufuli halafu hujui anafanya nini? Huu utani...
hofu unayo wewe. wengi tuna amani awamu hiiUnafiki,undumila kuwili na uwoga wa wa-Tanzania kujidhihirisha. Sikujua kuwa asilimia kubwa ya wananchi hatuwezi kuwa wazi kwa hisia na mawazo juu ya mustakabali wa nchi.
Mitaani ni manunghuniko,kkukata tamaa na hofu tupu Ajabu ni nadra kukuta mijadala ya wazi Sina hakika na kiwango cha Elimu ni sababu pia.
Mkuu, hii wala sio fake news. Rais mwenye alilizungumzia katika hotuba zake za makinikia akisema "hizi kampuni haziweki fedha zao hapa, wanaleta mishahara tuu, hata ukitaka kushika hizo akauti inakuta hakuna kitu". Sheria yetu mpaya ya madini imesisitiza hilo swala, moja kati ya makubaliano na Barrick Gold ni kuwa fedha za mauzo zitakuja Tanzania kwanza halafu ndio tugawane.Hii ni kweli au fake news mazee? Una maana gani "hawana hata senti moja hapa Tanzania zaidi ya mishahara" ?
Tabia ya mbuni kuficha kichwa mchangani!hofu unayo wewe. wengi tuna amani awamu hii
Kwa hiyo hata kodi hawalipi, wanalupa mishahara tu?Mkuu, hii wala sio fake news. Rais mwenye alilizungumzia katika hotuba zake za makinikia akisema "hizi kampuni haziweki fedha zao hapa, wanaleta mishahara tuu, hata ukitaka kushika hizo akauti inakuta hakuna kitu". Sheria yetu mpaya ya madini imesisitiza hilo swala, moja kati ya makubaliano na Barrick Gold ni kuwa fedha za mauzo zitakuja Tanzania kwanza halafu ndio tugawane.
Marufuku kwa kampuni za madini kuweka fedha nje
Miaka 17 wasema wanapata hasara, zaidi ya kodi wanazo katwa wafanyakazi hakuna kingine. Maana hata mitambo na mafuta wanaoingiza wanaomba misamaa ya kodi.Kwa hiyo hata kodi hawalipi, wanalupa mishahara tu?
Aliyekubali mikataba hiyo nani? Mbona hajashtakiwa?Miaka 17 wasema wanapata hasara, zaidi ya kodi wanazo katwa wafanyakazi hakuna kingine. Maana hata mitambo na mafuta wanaoingiza wanaomba misamaa ya kodi.
Fuatilia list ya walio tumbuliwa na walio fikishwa mahakamani na ambao bado wanachunguzwa. kuanzia Prof Muhongo, katibu wa wizara, bodi yote ya madini, wakurugenzi wa TRA bandari nk. Mbona hii hadhithi kwako ni mpya. unafuatilia habari kweli?Aliyekubali mikataba hiyo nani? Mbona hajashtakiwa?
Hao dagaa tu.Fuatilia list ya walio tumbuliwa na walio fikishwa mahakamani na ambao bado wanachunguzwa. kuanzia Prof Muhongo, katibu wa wizara, bodi yote ya madini, wakurugenzi wa TRA bandari nk. Mbona hii hadhithi kwako ni mpya. unafuatilia habari kweli?
Kikwete yuko hivyo kwasababu SHERIA MAMA ndio inamlinda. Nchi ikiamua kubadili sheria mtampata na kumuhoji.Hao dagaa tu.
Kikwete kasaini mikataba ya ajabu tangu alivyokuwa Madini.
Mbona amekingiwa kifua?
Hakuna sheria inayomlinda Kikwete kuhusu mikataba aliyosaini akiwa waziri. Hiyo sheria mama, kifungu cha katiba kwamba rais hatakiwi kushtakiwakwamambo aliyoyafanya kama rais, naijua, ndiyo maana sijamtaja Mkapa, nimemtaja Kikwete na nimetaja specifically kwa mikataba aliyosaini alipokuwa madini, si alivyokuwa rais.Kikwete yuko hivyo kwasababu SHERIA MAMA ndio inamlinda. Nchi ikiamua kubadili sheria mtampata na kumuhoji.
Nitakubalia na wewe kwa mtu kama Change. Lakini wakati kikwete akiwa waziri wa madini na Mkapa rais, makampuni mengi yalikuwa bado yanafanya kazi za utafiti (exploration). Tatizo lilijitokeza wakati kikwete amekuwa rais hisa zetu zikaanza kuporomoka kutoka 35% hadi 15% mpaka kufikia 0%. Lakini hata hivyo, Magufuli alishatoa maagizo kwamba watu wote walio husika kutokea mwanzo mpaka tulipofika hapa, wachunguzwe. Kama mtu yuko hai basi mkono wa sheria umpitie. Angalia hii clip hapa chini (ni ndefu lakini anzia kwenye dakika ya 43:20) utamsikia Magufuli anatowa maagizo.Hakuna sheria inayomlinda Kikwete kuhusu mikataba aliyosainibakiwa waziri. Hiyo sheria naijua, ndiyo maana sijamtaja Mkapa, ninemtaja Kikwete na ninetaja specifically kwa mikataba aliyosaini alipokuwa madini, si alivyokuwa rais.
Magufuli akimshitaki Kikwete nitamuona yuko serious.
Lakini hawezi.
Kwa sababu mikataba wamepitisha wote katika baraza la mawaziri.
Mpaka Magufuli mwenyewe kaipitisha.
Ndiyo maana jitu kama Chenge linadunda na kutamba kwamba halibabaiki, licha ya kusaini mikataba ya ajabu kibao. Kwa sababu linajua limesaini kwa maagizo ya baraza la mawaziri.
Kwa hiyo makampuni yakifanya kazi kwa exploration ni ruksa kusaini mikataba mibovu?Nitakubalia na wewe kwa mtu kama Change. Lakini wakati kikwete akiwa waziri wa madini na Mkapa rais, makampuni mengi yalikuwa bado yanafanya kazi za utafiti (exploration). Tatizo lilijitokeza wakati kikwete amekuwa rais hisa zetu zikaanza kuporomoka kutoka 35% hadi 15% mpaka kufikia 0%. Lakini hata hivyo, Magufuli alishatoa maagizo kwamba watu wote walio husika kutokea mwanzo mpaka tulipofika hapa, wachunguzwe. Kama mtu yuko hai basi mkono wa sheria umpitie. Angalia hii clip hapa chini (ni ndefu lakini anzia kwenye dakika ya 43:20) utamsikia Magufuli anatowa maagizo.
Yes, mikataba inakuwa sign tofauti, wakati wa exploration na wakati wa production. Wakati unatafiti hujuwi nini utakutana nacho huko chini saa nyingine unaweza usipate kitu. Hata mwekezaji lazima ajuwe kuna mali kiasi gani na itagharimu kiasi gani kuchimba. Na gesi ni hivyo hivyo.Kwa hiyo makampuni yakifanya kazi kwa exploration ni ruksa kusaini mikataba mibovu?
Unajua kwamba hata exploration inafanywa kwa mikataba? Unajua kwamba mikataba hiyo ndiyoinayo set precedents na expectations? Unafahamu matatizo ya mikataba ya Bulyankulu na Kikwete alivyohusika?
Umesoma alichosema Tundu Lissu kuhusu Kikwete na mikataba hii?
Tundu Lissu ataka Rais mstaafu Kikwete ajumuishwe orodha ya
POSTED 13/6/2017
Tundu Lissu ataka Rais mstaafu Kikwete ajumuishwe orodha ya watuhumiwa wa makinikia
By Sharon Sauwa, Mwananchi ssauwa@mwananchi.co.tz
IN SUMMARY
- Akichangia bungeni leo Jumanne, katika hotuba ya bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2017/18, Lissu amesema kuwa wakati wa kusaini mikataba ya madini Kikwete alikuwa ni Waziri wa Maji, Nishati na Madini.
PS:Kwa hiyo makampuni yakifanya kazi kwa exploration ni ruksa kusaini mikataba mibovu?
Unajua kwamba hata exploration inafanywa kwa mikataba? Unajua kwamba mikataba hiyo ndiyo inayo set precedents na expectations? Unafahamu matatizo ya mikataba ya Bulyankulu na Kikwete alivyohusika?
Umesoma alichosema Tundu Lissu kuhusu Kikwete na mikataba hii?
Ukisoma hiimakala, halafu mtu akakwambia Tundu Lisu kapigwa risasai na watu wa serikali, kinadharia,kuna motive kubwa sana hapo ya watu wa serikali kumdhuru Tundu Lissu kwakuwaamsha wananchi kuhusu ukweli kwamba Kikwete anatakiwa kushtakiwa.
Tundu Lissu ataka Rais mstaafu Kikwete ajumuishwe orodha ya
POSTED 13/6/2017
Tundu Lissu ataka Rais mstaafu Kikwete ajumuishwe orodha ya watuhumiwa wa makinikia
By Sharon Sauwa, Mwananchi ssauwa@mwananchi.co.tz
IN SUMMARY
- Akichangia bungeni leo Jumanne, katika hotuba ya bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2017/18, Lissu amesema kuwa wakati wa kusaini mikataba ya madini Kikwete alikuwa ni Waziri wa Maji, Nishati na Madini.
Point si nani aende mahakamani, point ni, Kikwete ana cha kujibu au ana kinga kamaulivyosema?PS:
Haya ya kikwete ni huyo Lissu na timu yake waende mahakami kutaka mahakama iamuwe kama kweli kikwete awekwe kwenye makinikia au la