Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

wapinzani hawajahesabu gharama ya upande wanaouwakilisha.
Hivyo hawatufai... CCM itawale milele...
 
Yaani wewe unamjua Magufuli halafu hujui anafanya nini? Huu utani...

Hatujaelewana.

Kwanza simjui Magufuli. Labda unifafanulie "kumjua" maana yake ni nini kwako.

Halafu, sijaandika popote kwamba sijui anafanya nini. Umehitimisha ambacho hakijaandikwa na kilichoandikwa hujakitathmini.
 
Unafiki,undumila kuwili na uwoga wa wa-Tanzania kujidhihirisha. Sikujua kuwa asilimia kubwa ya wananchi hatuwezi kuwa wazi kwa hisia na mawazo juu ya mustakabali wa nchi.
Mitaani ni manunghuniko,kkukata tamaa na hofu tupu Ajabu ni nadra kukuta mijadala ya wazi Sina hakika na kiwango cha Elimu ni sababu pia.
hofu unayo wewe. wengi tuna amani awamu hii
 
Hii ni kweli au fake news mazee? Una maana gani "hawana hata senti moja hapa Tanzania zaidi ya mishahara" ?
Mkuu, hii wala sio fake news. Rais mwenye alilizungumzia katika hotuba zake za makinikia akisema "hizi kampuni haziweki fedha zao hapa, wanaleta mishahara tuu, hata ukitaka kushika hizo akauti inakuta hakuna kitu". Sheria yetu mpaya ya madini imesisitiza hilo swala, moja kati ya makubaliano na Barrick Gold ni kuwa fedha za mauzo zitakuja Tanzania kwanza halafu ndio tugawane.

Marufuku kwa kampuni za madini kuweka fedha nje
 
Kwa hiyo hata kodi hawalipi, wanalupa mishahara tu?
 
Miaka 17 wasema wanapata hasara, zaidi ya kodi wanazo katwa wafanyakazi hakuna kingine. Maana hata mitambo na mafuta wanaoingiza wanaomba misamaa ya kodi.
 
Aliyekubali mikataba hiyo nani? Mbona hajashtakiwa?
 
Fuatilia list ya walio tumbuliwa na walio fikishwa mahakamani na ambao bado wanachunguzwa. kuanzia Prof Muhongo, katibu wa wizara, bodi yote ya madini, wakurugenzi wa TRA bandari nk. Mbona hii hadhithi kwako ni mpya. unafuatilia habari kweli?
 
Hao dagaa tu.

Kikwete kasaini mikataba ya ajabu tangu alivyokuwa Madini.

Mbona amekingiwa kifua?
 
Kikwete yuko hivyo kwasababu SHERIA MAMA ndio inamlinda. Nchi ikiamua kubadili sheria mtampata na kumuhoji.
 
Hakuna sheria inayomlinda Kikwete kuhusu mikataba aliyosaini akiwa waziri. Hiyo sheria mama, kifungu cha katiba kwamba rais hatakiwi kushtakiwakwamambo aliyoyafanya kama rais, naijua, ndiyo maana sijamtaja Mkapa, nimemtaja Kikwete na nimetaja specifically kwa mikataba aliyosaini alipokuwa madini, si alivyokuwa rais.

Magufuli akimshitaki Kikwete nitamuona yuko serious.

Lakini hawezi.

Kwa sababu mikataba wamepitisha wote katika baraza la mawaziri.

Mpaka Magufuli mwenyewe kaipitisha.

Ndiyo maana jitu kama Chenge linadunda na kutamba kwamba halibabaiki, licha ya kusaini mikataba ya ajabu kibao. Kwa sababu linajua limesaini kwa maagizo ya baraza la mawaziri.
 
Why the https://jamii.app/JFUserGuide do mods merge threads that have nothing to do with each other?
 
Hakuna sheria inayomlinda Kikwete kuhusu mikataba aliyosainibakiwa waziri. Hiyo sheria naijua, ndiyo maana sijamtaja Mkapa, ninemtaja Kikwete na ninetaja specifically kwa mikataba aliyosaini alipokuwa madini, si alivyokuwa rais.

Magufuli akimshitaki Kikwete nitamuona yuko serious.

Lakini hawezi.

Kwa sababu mikataba wamepitisha wote katika baraza la mawaziri.

Mpaka Magufuli mwenyewe kaipitisha.

Ndiyo maana jitu kama Chenge linadunda na kutamba kwamba halibabaiki, licha ya kusaini mikataba ya ajabu kibao. Kwa sababu linajua limesaini kwa maagizo ya baraza la mawaziri.
Nitakubalia na wewe kwa mtu kama Change. Lakini wakati kikwete akiwa waziri wa madini na Mkapa rais, makampuni mengi yalikuwa bado yanafanya kazi za utafiti (exploration). Tatizo lilijitokeza wakati kikwete amekuwa rais hisa zetu zikaanza kuporomoka kutoka 35% hadi 15% mpaka kufikia 0%. Lakini hata hivyo, Magufuli alishatoa maagizo kwamba watu wote walio husika kutokea mwanzo mpaka tulipofika hapa, wachunguzwe. Kama mtu yuko hai basi mkono wa sheria umpitie. Angalia hii clip hapa chini (ni ndefu lakini anzia kwenye dakika ya 43:20) utamsikia Magufuli anatowa maagizo.

Kwa hiyo makampuni yakifanya kazi kwa exploration ni ruksa kusaini mikataba mibovu?

Unajua kwamba hata exploration inafanywa kwa mikataba? Unajua kwamba mikataba hiyo ndiyo inayo set precedents na expectations? Unafahamu matatizo ya mikataba ya Bulyankulu na Kikwete alivyohusika?

Umesoma alichosema Tundu Lissu kuhusu Kikwete na mikataba hii?

Ukisoma hiimakala, halafu mtu akakwambia Tundu Lisu kapigwa risasai na watu wa serikali, kinadharia,kuna motive kubwa sana hapo ya watu wa serikali kumdhuru Tundu Lissu kwakuwaamsha wananchi kuhusu ukweli kwamba Kikwete anatakiwa kushtakiwa.

Tundu Lissu ataka Rais mstaafu Kikwete ajumuishwe orodha ya

POSTED 13/6/2017
Tundu Lissu ataka Rais mstaafu Kikwete ajumuishwe orodha ya watuhumiwa wa makinikia

pic+jk.jpg

By Sharon Sauwa, Mwananchi ssauwa@mwananchi.co.tz

IN SUMMARY

    • Akichangia bungeni leo Jumanne, katika hotuba ya bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2017/18, Lissu amesema kuwa wakati wa kusaini mikataba ya madini Kikwete alikuwa ni Waziri wa Maji, Nishati na Madini.
 
Unajua kwamba hata exploration inafanywa kwa mikataba? Unajua kwamba mikataba hiyo ndiyoinayo set precedents na expectations? Unafahamu matatizo ya mikataba ya Bulyankulu na Kikwete alivyohusika?

Umesoma alichosema Tundu Lissu kuhusu Kikwete na mikataba hii?

Tundu Lissu ataka Rais mstaafu Kikwete ajumuishwe orodha ya

POSTED 13/6/2017
Tundu Lissu ataka Rais mstaafu Kikwete ajumuishwe orodha ya watuhumiwa wa makinikia

pic+jk.jpg

By Sharon Sauwa, Mwananchi ssauwa@mwananchi.co.tz
IN SUMMARY
  • Akichangia bungeni leo Jumanne, katika hotuba ya bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2017/18, Lissu amesema kuwa wakati wa kusaini mikataba ya madini Kikwete alikuwa ni Waziri wa Maji, Nishati na Madini.
Yes, mikataba inakuwa sign tofauti, wakati wa exploration na wakati wa production. Wakati unatafiti hujuwi nini utakutana nacho huko chini saa nyingine unaweza usipate kitu. Hata mwekezaji lazima ajuwe kuna mali kiasi gani na itagharimu kiasi gani kuchimba. Na gesi ni hivyo hivyo.
 
Kwa hiyo makampuni yakifanya kazi kwa exploration ni ruksa kusaini mikataba mibovu?

Unajua kwamba hata exploration inafanywa kwa mikataba? Unajua kwamba mikataba hiyo ndiyo inayo set precedents na expectations? Unafahamu matatizo ya mikataba ya Bulyankulu na Kikwete alivyohusika?

Umesoma alichosema Tundu Lissu kuhusu Kikwete na mikataba hii?

Ukisoma hiimakala, halafu mtu akakwambia Tundu Lisu kapigwa risasai na watu wa serikali, kinadharia,kuna motive kubwa sana hapo ya watu wa serikali kumdhuru Tundu Lissu kwakuwaamsha wananchi kuhusu ukweli kwamba Kikwete anatakiwa kushtakiwa.

Tundu Lissu ataka Rais mstaafu Kikwete ajumuishwe orodha ya

POSTED 13/6/2017
Tundu Lissu ataka Rais mstaafu Kikwete ajumuishwe orodha ya watuhumiwa wa makinikia

pic+jk.jpg

By Sharon Sauwa, Mwananchi ssauwa@mwananchi.co.tz

IN SUMMARY

    • Akichangia bungeni leo Jumanne, katika hotuba ya bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2017/18, Lissu amesema kuwa wakati wa kusaini mikataba ya madini Kikwete alikuwa ni Waziri wa Maji, Nishati na Madini.
PS:
Haya ya kikwete ni huyo Lissu na timu yake waende mahakami kutaka mahakama iamuwe kama kweli kikwete awekwe kwenye makinikia au la
 
Point si nani aende mahakamani, point ni, Kikwete ana cha kujibu au ana kinga kamaulivyosema?

Kama ana cha kujibu, Magufuli kumuachia kunaonyesha Magufuli hayuko serious katikahi vita, anaifanya kisiasa kwa kuchagua nani wa kumshtaki na nani wa kumuacha.

Anashtaki dagaa, wakati mapapa anayaacha.

Lissu kashapigwa risasi ukitaka aende kumshtaki Kikwete sasa hivi utakuwa unamuonea tu.
 
Back
Top Bottom