Maybe yes maybe no, kama Magufuli wanafanya hii vita ya kisiasa. Lakini navyojuwa mimi PCCB wako busy kukoji wahusika ambao wengine wameshaaza kutimka.Point si nani aende mahakamani, point ni, Kikwete ana cha kujibu au ana kinga kamaulivyosema?
Kama ana cha kujibu, Magufuli kumuachia kunaonyesha Magufuli hayuko serious katikahi vita, anaifanya kisiasa kwa kuchagua nani wa kumshtaki na nani wa kumuacha.
Anashtaki dagaa, wakati mapapa anayaacha.
Lissu kashapigwa risasi ukitaka aende kumshtaki Kikwete sasa hivi utakuwa unamuonea tu.
PCCB haiwezi kumgusa Kikwete, kwa sababu anayemteua na kutengua bosi wa PCCB, Magufuli, kashasema hawa wastaafu wasiguswe.Maybe yes maybe no, kama Magufuli wanafanya hii vita ya kisiasa. Lakini navyojuwa mimi PCCB wako busy kukoji wahusika ambao wengine wameshaaza kutimka.
Ndio muda wa wanasheria kudai mahakama ifafanue kama kikwete ana lakujibu au la. Hiyo ndio kazi ya mahakama, kama kuna kitu kinatatiza tena ni kitu cha kisheria, mahakama iko na itatoa ufafanuzi. Tatizo mtu kama Lissu akifuatilia kitu hiki na yeye anawekwe katika kundi la watu wanaochuklia hili swala kisiasa maana amevaa anakofia ya kisiasa. Ilipaswa wanasheria ambao hawajihusishi na siasa ndio fuatilie hili swala.PCCB haiwezi kumgusa Kikwete, kwa sababu anayemteua na kutengua bosi wa PCCB, Magufuli, kashasema hawa wastaafu wasiguswe.
Hapo ndipo utakapoona hii vita ni ya kisiasa na vyombo vya dola vishawekewa mipaka.
Hakuna cha kufafanua kwamba Kikwete ana cha kujibu.Ndio muda wa wanasheria kudai mahakama ifafanue kama kikwete ana lakujibu au la. Hiyo ndio kazi ya mahakama, kama kuna kitu kinatatiza tena ni kitu cha kisheria, mahakama iko na itatoa ufafanuzi. Tatizo mtu kama Lissu akifuatilia kitu hiki na yeye anawekwe katika kundi la watu wanaochuklia hili swala kisiasa maana amevaa anakofia ya kisiasa. Ilipaswa wanasheria ambao hawajihusishi na siasa ndio fuatilie hili swala.
Naona umemkomalia huyo jamaa, lakini kwa hulka hizi ndio watu hawata weza kumpata maana kama mnaona Magufuli ana upendeleo basi kuna njia ya mahakama, na kama mahakama inaoneka haitowi haki, then upinzani inabidi uongeze bidii kukamata dola ili waakamate wote. Japo wakiwakamata itawaleta kwenye mahakama hizi hizi ambazo watu hawana imani nazo.Hakuna cha kufafanua kwamba Kikwete ana cha kujibu.
1. Kasaini mikataba yenye utata.
2. Kasaini wakati hana kinga ya urais.
3. Ana cha kujibu kuhusu mikataba hiyo
Kitu ambacho mahakama inatakiwa kuamua ni kama ana hatia ama la.
Sasa kwa nini Kkwete kaachwa katikahao wanaoandamwa?
Mimi objective yangu hapa si kumkamata Kikwete.Naona umemkomalia huyo jamaa, lakini kwa hulka hizi ndio watu hawata weza kumpata maana kama mnaona Magufuli ana upendeleo basi kuna njia ya mahakama, na kama mahakama inaoneka haitowi haki, then upinzani inabidi uongeze bidii kukamata dola ili waakamate wote. Japo wakiwakamata itawaleta kwenye mahakama hizi hizi ambazo watu hawana imani nazo.
Mimi objective yangu hapa si kumkamata Kikwete.
Objective yangu ni kuonyesha kwamba Magufuli hayuko serious na hii vita ya mafisadi, anaitumia kisiasa.
Binafsi napenda kutumia fursa hii adhimu kuendelea kumshukuru na kumpongeza mheshimiwa Rais wa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Joseph Magufuli pamoja na Serikali yake yote kwa kazi njema wanazozifanya kwa ajili ya watanzania.
Zaidi sana natoa pongezi zangu kwao kutokana na UZALENDO usio na mashaka walio nao na unaoonekana kwa wazi kabisa.
Hapa katikati kumekuwa na shutma nyingi sana dhidi ya hawa viongozi wetu. Lakini kwa mtazamo wangu nimeona shutuma hizo hazina ukweli ndani yake.
Mimi naomba tumwache Rais afanye kazi yake ya kuwaletea watanzania maendeleo.
Kwa hakika, kazi hii ya kutetea rasilimali za nchi inayofanywa sasa kama ingefanywa kikamilifu tangu awamu zote zilizopita nchi hii ingekuwa mbali sana kimaendeleo.
Sina maana kwamba awamu zilizopita hazikufanya kitu, la hasha, kila awamu imefanya mengi tu mazuri.
Nihitimishe kwa kuwaomba watanzania tumuunge mkono Mh. Rais wetu, kwani hizi rasilimali anazopigania si kwa ajili yake na familia yake bali ni kwa ajili ya watanzania wote. Amina.
Kwangu sikujua kuwa kuna watanzania wabinafsi wasiopenda wengine wasionakipato wapate kidogo tunachopata kama nchi. Watu wachoyo wapenda rushwa na wabinafsi. wanaopinga juhudi za raisi kusaidia tabaka la walalahoi.
Mungu saidia rais wetu Magufuli.
Swali...? Wakati wa awmu zilizopita ulikuwa hujazaliwa...?kama ulikuwepo bas ww utakuwa ni mnafiki mkubwa kwa sababu muda wote ulichimbia likichwa lako mchangani halaf leo hii unajifanya kushauri.....!Binafsi napenda kutumia fursa hii adhimu kuendelea kumshukuru na kumpongeza mheshimiwa Rais wa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Joseph Magufuli pamoja na Serikali yake yote kwa kazi njema wanazozifanya kwa ajili ya watanzania.
Zaidi sana natoa pongezi zangu kwao kutokana na UZALENDO usio na mashaka walio nao na unaoonekana kwa wazi kabisa.
Hapa katikati kumekuwa na shutma nyingi sana dhidi ya hawa viongozi wetu. Lakini kwa mtazamo wangu nimeona shutuma hizo hazina ukweli ndani yake.
Mimi naomba tumwache Rais afanye kazi yake ya kuwaletea watanzania maendeleo.
Kwa hakika, kazi hii ya kutetea rasilimali za nchi inayofanywa sasa kama ingefanywa kikamilifu tangu awamu zote zilizopita nchi hii ingekuwa mbali sana kimaendeleo.
Sina maana kwamba awamu zilizopita hazikufanya kitu, la hasha, kila awamu imefanya mengi tu mazuri.
Nihitimishe kwa kuwaomba watanzania tumuunge mkono Mh. Rais wetu, kwani hizi rasilimali anazopigania si kwa ajili yake na familia yake bali ni kwa ajili ya watanzania wote. Amina.
Hili sio jipu Bali wanawasaidia watoto,hats ss tumesoma tuition ndio maana tumefika hapa. Bila masomo ya muda WA Ziada Ni kaz bureeeKuna majipu bado yapo mengi mfano:
Utafiti mdogo niliofanya, umeonesha kuna shule za msingi zinaendesha tuisheni, mfano.
Shule ya msingi Tumaini na Kimanga zote shule hizi zimeunganishwa pamoja. Walimu wao wamekuwa wakiendesha tuisheni, pembeni kidogo ya shule hizo.
Walimu hao huendesha tuisheni, katika majengo ya shule ya sekondari ya wazazi iliyoko maeneo ya sokoni huko huko tabata kimanga
Chanzo mimi mwenyewe nimefanya utafiti.