Aisee ngoja nikuunge mkono,huu uzi usifungwe uwe ni wa kudumu,ila members tuutumie kwa uaminifu ili kuijengea heshima JF,kuirahisishia serikali na kuirahisishia jamii kufast track kero zetu kwenye platforms husika.Subiri jumatatu tutasoma mengi.
Wahusika msifunge hii kitu tafadhalini. Huu ndio wakati wa ukweli na uwazi. Tuwekane sawa.
Mtoa mada heshima kwako!
Mkuu wewe ni kichwa-THE GREAT THINKER!Ndugu wana JF.
Nchi imetafunwa mno hii na hawa mchwa. Sasa tuseme imetosha. Tumsaidie rais Mzalendo Dr JPM kuendelea kufyeka haya matango pori.
Weka taarifa yako hapa ili isaidie kutumbua. As far as Magufuli ni mfuatiliaji atanusa hapa tuuu.
Karibuni sana.
Kipande chenyewe ni kidogo sana!halafu kila siku wanakusanya ushuru pale getini,hiyo pesa waibane waweke lami pale.Barabara ya kuingia kituo cha mabasi cha SIMU 2000 ( mawasiliano) iwekwe lamiharaka ni kero kubwa.
2. Kitua chamabasi yaendyomikoani Ubungo kijengwe haraka.
Ni kweli ndugu majipu ya kumkabidhi Magufuli kama ya Bandarini...Kwa level ya JPM, hayo ni chunusi tu, hata Katibu Mkuu anamudu!
Jipu lipo barabara ya Makumbusho kituoni. Ni mbovu sana na mvua ikinyesha magari na vyombo vyote vya usafiri vinatuama sana na kuharibikia hapo, pia gari inabidi ziwashushie abiria njiani ili wakwepe hiyo barabara....
Hili ni jipu kwa injinia wa wilaya ya kindoni anatakiwa awajibike hii barabara iweze kupitika kwani magari mengi yanashindwa kufika kituoni
Haha haaaaa......kumbe mkuu ulikuwepo siku hiyo, wahindi wanajua sana kuchezea akili za watanzania. Subiri siku wakija watu wa Uhamiaji......Lijipu st.Joseph university in tanzania mbezi na tcu kuna harufu ya rushwa walikuja wakaguzi kutoka tcu wahindi walihangaika siku mbili au tatu kuficha maovu yao
Kukarabati mazingira ya maabara kuficha kompyuta zilizo chini ya kiwango
Kuandaa wanafunzi wa kujibu maswali ikiwa watauliza wakazi
Utaratibu mibovu
Lakini walipofika hawakukagua maabara wala mazingira ya chuo ila walijifungia ofiisini ikawa vikao tu
Na kula na kunywa huku wahindi wakiwasimamia show baada ya hapo wakaondoka lakini hali ni mbaya
Wizara husika inahitajika kufuatilia wasiende huku wametoa taarifa
Washtukize
Aisee hawa jamaaa kila siku wanaenda kazini asubuhi na kurudi jioni. Na mwisho wa mwezi pesa inaingia.... Hapa hata Magufuli naye ni jipu..... Nchi hii imelogwa.... Triumph kasema ukweli..Jipu lipo barabara ya Makumbusho kituoni. Ni mbovu sana na mvua ikinyesha magari na vyombo vyote vya usafiri vinatuama sana na kuharibikia hapo, pia gari inabidi ziwashushie abiria njiani ili wakwepe hiyo barabara....
Hili ni jipu kwa injinia wa wilaya ya kindoni anatakiwa awajibike hii barabara iweze kupitika kwani magari mengi yanashindwa kufika kituoni
Mtakatifu unaongelea mwanyamala mbali hivyo ...hapa posta kwenye Petrol Station kama unaenda Haidery Plaza ni kichefuchefuKaka bara bara za kuingilia Makumbusho kaka.. Hasa kuanzia huku mwananyamala .. Kuna handaki pale karibu na shule ya Makumbusho .. Ikulu ipo dsm.... Hili handaki lipo dsm.. Rais yupo dsm, mkuu wa wilaya yupo .. Mluu wa mkoa yupo .. Mkandarasi wa wilaya na mkoa yupo daaaah... Kaka wafikishie taarifa
Kaka hapo nadhani pia na seawage system zimezidiwa uwezo... Ila Kuna mdau kaniambia kuwa pesa ya hizii bara bara imeshasainiwa manispaa na Bavicha kwa vile ndio waliopewa udiwani ndio watasimamia ujenzi wa hivi bara bata ... Ila kusema kweli mimi hawa bavicha/ukawa siwaamini bado japo mimi ni Ukawa damu toka kitambo .. Ila siku zote jiwe naliita jiwe ..Mtakatifu unaongelea mwanyamala mbali hivyo ...hapa posta kwenye Petrol Station kama unaenda Haidery Plaza ni kichefuchefu