Namhurumia sana MAGUFULI, kwa jinsi anavyohangaika kutuletea maendeleo harafu majitu mengine yapo ofisi nyeti za wakuu wa wilaya, takukuru, usalama wa taifa, polisi na ofisi nyingine ndo wanaongoza kufanya ufisadi na kuleta umaskini kwenye wilaya hizo. Rais Magufuli weka hata email hadharani yako tuwe tunakutumia madudu yanayofanywa na hawa viongozi unaowaamini.
Hatuwezi kuja kukuletea maovu haya kwenye ofisi za ikulu process ni ndefu Sana. Mzee Magufuli amini tu kuna wananchi wazalendo wanashindwa kukuwasilishia maovu ya wateule na maafisa wako wapiga dili....
Sent using Jamii Forums mobile app
Elimu elimu elimu ....lowasa alisema hii kauli ina Maana kubwa sana,..Wakuu habarini,
Uzi huu uwe spesho kwa wale wenye maoni, maendeleo,hata mapovu na changamoto mbalimbali tunazokutana nazo sisi kama watanzania katika Jamii zetu kila siku.
mimi naanza na Pongezi Kubwa kwa maendeleo nnayoyaona katika nchi yetu na katika jamii inayonizunguka kwani mambo yanaenda na yanaenda vizuri.. maoni yangu kwa jamii tuzidi kuchapa kazi ili tupate maendeleo yetu binafsi na nchi kwa ujumla..
sasa bosi iyo kampuni jina lake inauitwaje mbona taarifa fupi fupiJipu kubwa zaidi lipo kwa uhamiaji kuna wahamiaji haramu wanaofanya kazi bila vibali na hawana vibali vya kuishi nchini pia. Tumetoa sana ripoti kwa maafisa wa uhamiaji lakini tukageuziwa kibao tukaitwa na boss tueleze kwa nini tunataka kuua kampuni yake yeye hana pesa ya kulipia wageni maana wapo zaid ya 50 so serikali hapa imekosa zaidi ya million 100. Huyo afisa aliyetuchoma anaitwa John M jina la pili tumemstai kwa sasa tu natafuta namna ya kuakikisha tunafikisha hizi taarifa kwa Magufuli maana huyo Waziri Kitwanga nae ni mzigo tu hatumuamini.
Huu ni ujipu wa hali ya juu sisi tunatoa sapoti kwa taifa wao wanaenda kuchukua rushwa alafu wanatuchoma. Uhamiaji ni jipu jipu kubwa sana.