Ungechukua numba ya Gari ingesaidia Kwa ambao walikuwa watoe rushwa jioni ya leoKuna wafanyakazi wa TANROADS wanakuwa na gari Hardbody Ya Tanroads nyeupe inasimama njia ya Msata - Bagamoyo mida ya usiku, wanakula rushwa kwa kila fuso za mizigo zinazopita njia ile.
Kwa siku wafanyakazi hao huenda nyumbani na sh3m.
Tuanze na jipu hilo kwanza maana huo mchezo ulikuwepo tangu yeye akiwa waziri wa ujenzi.
utaifakwanza
Nyinyi ndiyo wale wale, unajua wengi wa wazazi wanaopeleka watoto kwenye shule hizi hata uhakika wa milo mitatu hawana, nilimanisha hawana kazi rasmi, na ndiyo walipa kodi ambazo zinalipa hiyo mishahara ya hao walimu unasema waongezee kipato? Unajua nchi kuna watu wanalipwa sh150,000 chini mbali kabisa ya mshahara wa walimu,bila allowance. Ndiyo walimu mzazi huyu anataka atoe sh1000 kila siku je akiwa na watoto watatu? Kuweni na utu. Ukisema wajiongee kipato nesi atasema hivyo, polisi atasema hivyo, karani atasema hivyo. Huoni kama mtaongeza maradhi yanayosababisha magonjwa ya akili. Walimu wanatakiwa wawe waadilifu hakuna mshahara unatosha. Watumikieni watanzania maana kodi zao ndiyo ziliwasimesha na ndizo zinawalipa mishahara. Ndiyo maana tunaambiwa tukinunua kitu tudai risiti ili kupatikane hela za kulipa mishahara.Hili sio jipu bali ni chunusi. Waache waalimu wajiongezee kipato halali. Hawaibi na wazazi wa nataka watoto wao wapate elimu. Tafuta jipu ulilete hapa.
Yale makusanyo ya Kariakoo ya freeze kuboresha maisha ya wana Kariakoo. Wangeweza kumpata huduma bora za kijamii mfano kindergarten bora kwa watoto wao, na hata nyumba za bei nafuu.Hela nyingi inaliwa kariakoo,
Wanapokusanya faini za malori yaingiayo kariakoo basi hawaandiki risiti wanatia mufukoni mwao tukiwadai risiti wanasema usiwe na wasiwasi hakuna mtu atakusumbua,
Serikali ya mtaa wa misheni kota imelala kabisa,
Manake huko ndio hakufai kwa malori
Kariakoo gani waiongelea? Lori gani waongelea?Hela nyingi inaliwa kariakoo,
Wanapokusanya faini za malori yaingiayo kariakoo basi hawaandiki risiti wanatia mufukoni mwao tukiwadai risiti wanasema usiwe na wasiwasi hakuna mtu atakusumbua,
Serikali ya mtaa wa misheni kota imelala kabisa,
Manake huko ndio hakufai kwa malori
Kariakoo gani waiongelea? Lori gani waongelea?Hela nyingi inaliwa kariakoo,
Wanapokusanya faini za malori yaingiayo kariakoo basi hawaandiki risiti wanatia mufukoni mwao tukiwadai risiti wanasema usiwe na wasiwasi hakuna mtu atakusumbua,
Serikali ya mtaa wa misheni kota imelala kabisa,
Manake huko ndio hakufai kwa malori
Tembelea kati ya mtaa wa ndanda na muheza uangalie mtaa wa narun'gombe, magila, masasi, na aggrey,Kariakoo gani waiongelea? Lori gani waongelea?
Kwa Kariakoo semi ikiingia inaingia kwa kibali cha 300,000 mwisho saa 12 asubuhi. Na wanaokata ni mawakala wa Manispaa, na Manispaa ina watu wao ambao ndio hupeleka taarifa kuna gari imeingia
Hivi una akili kweli wewe?? wanapiga story gani ?? hebu tuelezee make ulizisikia!! ...acheni ujinga bana!! Madaktari, Nurses lazima wapeane Taarifa za tiba sahihi! wanazo fanya na walizo fanya kabla!Jipu uchungu nimeliona hospitali ya Mwananyamala kitengo cha maabara watu wanaanza kupewa huduma saa tano. Na wakati wafanyakazi wanafika ofisini saa moja wao ni stori tu na kuacha wagonjwa wanaendelea kuzidiwa.
Mtu amepima toka jana lakini kumpa tu majibu yake asubiri hadi saa tano ndo waanze kutoa majibu....wao na stori tu ofisini
Sawa Mama yangu Rais mpendwa!! sasa ndo umeamua kujiita jina la Mulokozi junior! kweli! .....hivi naweza hata kuja hapo Ikulu niongee na wewe tu!! Mama yangu najua utani bariki tu...Nije?? saa ngapi?Huu ni uzi wa whistle blowers kama hamna barabara malizaeni na mbunge wenu hapa leteni nondo za mijitu inayoliibia taifa kwa namna yoyote ile au kama unafahamu mtu aliyejipatia mali kiudanganyifu au wauza ngada huu ndo uwanja wenu
Tatizo Wazaramo mkishajua tunakopa Baaasi mnataka muwe km N/York! mle na kusaza!....brbra nzurii hizo, Hosp mashule Bure hamuoniiii….wewe sema Mungu kakupiga kofi tu ajili ya uchawi wa Bibi yako!!kodi zinapanda mikopo lukuki inakopwa zinakokwenda mawenge mawenge uwazi hakuna!!!!
Acha wivu wewe kama hauna wewe wengine wanazo.Tembeleeni mitaa ya waarabu wanapouza vitambaa ndio muone wakusanya kodi wanavyokula rushwa, yaani nje nje wala soni hawaoni
Duh, hii reply si yangu, vinginevyo hukuelewa nilichoandikaAcha wivu wewe kama hauna wewe wengine wanazo.
Duh, hii reply si yangu, vinginevyo hukuelewa nilichoandika
Nchi ya ajabu hiiWizara ya ardhi Dodoma inachukua maeneo ya wananchi na kuwadanganya kuwa serikali inafanya miradi ya mashamba darasa lakini kumbe ni uongo....