Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

Kuna wafanyakazi wa TANROADS wanakuwa na gari Hardbody Ya Tanroads nyeupe inasimama njia ya Msata - Bagamoyo mida ya usiku, wanakula rushwa kwa kila fuso za mizigo zinazopita njia ile.

Kwa siku wafanyakazi hao huenda nyumbani na sh3m.

Tuanze na jipu hilo kwanza maana huo mchezo ulikuwepo tangu yeye akiwa waziri wa ujenzi.

utaifakwanza
Ungechukua numba ya Gari ingesaidia Kwa ambao walikuwa watoe rushwa jioni ya leo
 
Hili nalo lisiachwe lipite hivi hivi. Madai haya ni mazito na yanaichafua Serikali lakini pia yanawakandamiza zaidi wananchi badala ya kuwasaidia.

TAKUKURU kazi kwenu:

Hili sio jipu bali ni chunusi. Waache waalimu wajiongezee kipato halali. Hawaibi na wazazi wa nataka watoto wao wapate elimu. Tafuta jipu ulilete hapa.
Nyinyi ndiyo wale wale, unajua wengi wa wazazi wanaopeleka watoto kwenye shule hizi hata uhakika wa milo mitatu hawana, nilimanisha hawana kazi rasmi, na ndiyo walipa kodi ambazo zinalipa hiyo mishahara ya hao walimu unasema waongezee kipato? Unajua nchi kuna watu wanalipwa sh150,000 chini mbali kabisa ya mshahara wa walimu,bila allowance. Ndiyo walimu mzazi huyu anataka atoe sh1000 kila siku je akiwa na watoto watatu? Kuweni na utu. Ukisema wajiongee kipato nesi atasema hivyo, polisi atasema hivyo, karani atasema hivyo. Huoni kama mtaongeza maradhi yanayosababisha magonjwa ya akili. Walimu wanatakiwa wawe waadilifu hakuna mshahara unatosha. Watumikieni watanzania maana kodi zao ndiyo ziliwasimesha na ndizo zinawalipa mishahara. Ndiyo maana tunaambiwa tukinunua kitu tudai risiti ili kupatikane hela za kulipa mishahara.
 
Hela nyingi inaliwa kariakoo,
Wanapokusanya faini za malori yaingiayo kariakoo basi hawaandiki risiti wanatia mufukoni mwao tukiwadai risiti wanasema usiwe na wasiwasi hakuna mtu atakusumbua,
Serikali ya mtaa wa misheni kota imelala kabisa,
Manake huko ndio hakufai kwa malori
 
Yale makusanyo ya Kariakoo ya freeze kuboresha maisha ya wana Kariakoo. Wangeweza kumpata huduma bora za kijamii mfano kindergarten bora kwa watoto wao, na hata nyumba za bei nafuu.
 
Hela nyingi inaliwa kariakoo,
Wanapokusanya faini za malori yaingiayo kariakoo basi hawaandiki risiti wanatia mufukoni mwao tukiwadai risiti wanasema usiwe na wasiwasi hakuna mtu atakusumbua,
Serikali ya mtaa wa misheni kota imelala kabisa,
Manake huko ndio hakufai kwa malori
Kariakoo gani waiongelea? Lori gani waongelea?

Kwa Kariakoo semi ikiingia inaingia kwa kibali cha 300,000 mwisho saa 12 asubuhi. Na wanaokata ni mawakala wa Manispaa, na Manispaa ina watu wao ambao ndio hupeleka taarifa kuna gari imeingia
 
Tembelea kati ya mtaa wa ndanda na muheza uangalie mtaa wa narun'gombe, magila, masasi, na aggrey,
Halafu uje hapa tena, faanya tu udadisi huru utapata majibu
Timing ni kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa sita usiku,
Mimi Nina mpaka picha za gari ya sm ikisanya kwenye hizo ofisi za usafirishaji
Sema nini naona huruma kuadhirisha watu
Ila usipinge fedha inaliwa tena nyingi tu
 
Jipu uchungu nimeliona hospitali ya Mwananyamala kitengo cha maabara watu wanaanza kupewa huduma saa tano. Na wakati wafanyakazi wanafika ofisini saa moja wao ni stori tu na kuacha wagonjwa wanaendelea kuzidiwa.

Mtu amepima toka jana lakini kumpa tu majibu yake asubiri hadi saa tano ndo waanze kutoa majibu....wao na stori tu ofisini
Hivi una akili kweli wewe?? wanapiga story gani ?? hebu tuelezee make ulizisikia!! ...acheni ujinga bana!! Madaktari, Nurses lazima wapeane Taarifa za tiba sahihi! wanazo fanya na walizo fanya kabla!

Msiosoma mnaona zile ni story tu!!…...lazima wajue waanzie wapi leo na waishie wapi! Unasikia wewe kenge Manyoya?...tulieni muongozwe nyie amabao mli kimbia umande nyau kabisa!!

Yaani muombe ivo ivoo!! tuwekwe pembeni yaani nikikamata nchi hii mimi!! mchaka mchaka wake huo!! mpaka mlie pooo! nakwambieniii!......wakifanya haraka mkifa oooh! wazembe! waacheni wafanye kazi bana!

Maabara sasa; km mtu umefanyiwa Kipimo cha Culture & Sensitivity!! unataka majibu hapo hapo! jibu lako ni hukusoma weye!..... ndo mnasumbua sana!! si mwende Gumbaru??

Kifupi ni kuwa serikali yetu hii tukisikiliza majinga majinga km weye hatufanyi kitu chochote!...ndo maana Mungu haji kwa ajili ya wajinga wajinga! km weye!!…... na hutamuona ng'ooo!....hata mupewe nini hamueleweki!
 
Huu ni uzi wa whistle blowers kama hamna barabara malizaeni na mbunge wenu hapa leteni nondo za mijitu inayoliibia taifa kwa namna yoyote ile au kama unafahamu mtu aliyejipatia mali kiudanganyifu au wauza ngada huu ndo uwanja wenu
Sawa Mama yangu Rais mpendwa!! sasa ndo umeamua kujiita jina la Mulokozi junior! kweli! .....hivi naweza hata kuja hapo Ikulu niongee na wewe tu!! Mama yangu najua utani bariki tu...Nije?? saa ngapi?

wewe ni Mama una huruma! sasa nikwambie kitu?? kitu kizuri kitakacho peleka nchi yetu mbele!...…….
 
kodi zinapanda mikopo lukuki inakopwa zinakokwenda mawenge mawenge uwazi hakuna!!!!
Tatizo Wazaramo mkishajua tunakopa Baaasi mnataka muwe km N/York! mle na kusaza!....brbra nzurii hizo, Hosp mashule Bure hamuoniiii….wewe sema Mungu kakupiga kofi tu ajili ya uchawi wa Bibi yako!!

hamtaki kutubu asa ndo mnalia lia hivi!...….mtachapika tu na Bado bila kutubu mtaosha vyoo sana kwa kilio cha Damu kenge nyie!
 
Nimeona vile vyuma vya barabarani vilivyowekwa minyololo kutoka junction ya Jet Barabara ya kwenda Julius Nyerere Airport vimeanza kuondolewa.
Kama ni Mamlaka husika sina tatizo.
Isije kuwa vinapelekwa scrapers, vyuma chakafu.
Nchi hii hatuna wema.
 
Tembeleeni mitaa ya waarabu wanapouza vitambaa ndio muone wakusanya kodi wanavyokula rushwa, yaani nje nje wala soni hawaoni
 
Wizara ya ardhi Dodoma inachukua maeneo ya wananchi na kuwadanganya kuwa serikali inafanya miradi ya mashamba darasa lakini kumbe ni uongo. Wanachukua ardhi wanapima halafu wanapewa viongozi. Cha kusukitisha zaidi fidia wanayotoa ni ndogo sana sana. Wananchi wamedhulumiwa maeneo yao wakijua yalichukuliwa kwa ajili ya mashamba darasa kumbe wamepewa viongozi mafisadi
 
Back
Top Bottom