canne siame
Member
- Sep 17, 2015
- 5
- 5
Laki 2.70Viwanja bagamoyoView attachment 2469076
Mimi naona mabasi ya Dar=Mombasa kila siku yanaondoka yakiwa na shehena ya mizigo na bidhaa kibao. Pale mpakani Horohoro kuna maofisa wa forodha wa Kenya na Tanzania. Mizigo haikaguliwi na yanapita kiulaini. Bila shaka hapo kuna harufu ya rushwa. Je mamlaka husika zinajua haya au nao wanalamba asali?Kuna wafanyakazi wa TANROADS wanakuwa na gari Hardbody Ya Tanroads nyeupe inasimama njia ya Msata - Bagamoyo mida ya usiku, wanakula rushwa kwa kila fuso za mizigo zinazopita njia ile.
Kwa siku wafanyakazi hao huenda nyumbani na sh3m.
Tuanze na jipu hilo kwanza maana huo mchezo ulikuwepo tangu yeye akiwa waziri wa ujenzi.
utaifakwanza
Hii ni Kero sana hakikaNdugu wana JamiiForums,
Nchi yetu imetafunwa mno na ni wakati sasa tuseme imetosha. Tumsaidie Rais Magufuli na Serikali yake kuweza kuzifahamu kero zetu za yanayotusumbua kama Watanzania ambayo tungependa yafanyiwe kazi.
Karibuni sana.
MWONGOZO: Elezea jipu/kero yako na kama ina ufafanuzi wa kutosha (nani, wapi, lini, kivipi n.k) ukiambatana na nyaraka itapendeza zaidi.
Kero hizi zitachapwa na kupelekwa kwa mamlaka husika ili zifanyiwe ufuatiliaji.
Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania
Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Rais Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Rais Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati. Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli...www.jamiiforums.com
Kero kuu ni gharama za ukarabati wa kivuko huko mombasa kenyaNdugu wana JamiiForums,
Nchi yetu imetafunwa mno na ni wakati sasa tuseme imetosha. Tumsaidie Rais Magufuli na Serikali yake kuweza kuzifahamu kero zetu za yanayotusumbua kama Watanzania ambayo tungependa yafanyiwe kazi.
Karibuni sana.
MWONGOZO: Elezea jipu/kero yako na kama ina ufafanuzi wa kutosha (nani, wapi, lini, kivipi n.k) ukiambatana na nyaraka itapendeza zaidi.
Kero hizi zitachapwa na kupelekwa kwa mamlaka husika ili zifanyiwe ufuatiliaji.
Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania
Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Rais Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Rais Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati. Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli...www.jamiiforums.com
Ukarabati wa kivuko unaenda kuifirisi nchiMajipu yangu yapo DIT:
1) Kuna Teaching Tower imeanza kujengwa tokea 2007 lakini hadhi leo 2016 jengo halijakamilika na pia jengo limeanza kupasuka (Lina nyufa)! Sijui wanajiita wahandisi wa nini?
2) Hakuna viti vya kutosha madarasa ya A7, A8, A9, B12, B15 na T classes
3) Workshops zimejaa vumbi, hakuna feni, taa, viti , na madawati poa ni shida (All workshops except W16, 12, D2, Multimedia 1 &2 )!
4) Vyoo vimejaa na kibaya zaidi vinatiririsha maji machafu ovyo ovyo; hii ni hatari kwa afya za wanafunzi.
CAG report kama haifanyiwi kazi sisi ni akina nani tufuatilie hizo rushwa?Ndugu wana JamiiForums,
Nchi yetu imetafunwa mno na ni wakati sasa tuseme imetosha. Tumsaidie Rais Magufuli na Serikali yake kuweza kuzifahamu kero zetu za yanayotusumbua kama Watanzania ambayo tungependa yafanyiwe kazi.
Karibuni sana.
MWONGOZO: Elezea jipu/kero yako na kama ina ufafanuzi wa kutosha (nani, wapi, lini, kivipi n.k) ukiambatana na nyaraka itapendeza zaidi.
Kero hizi zitachapwa na kupelekwa kwa mamlaka husika ili zifanyiwe ufuatiliaji.
Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania
Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Rais Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Rais Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati. Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli...www.jamiiforums.com
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jipu: Shinyanga barabara za lami mjini kujengwa na mkandarasi aliyejenga Bariadi, Shinyanga leo miezi 8 hakuna chochote zaidi ya kuchimbua.
Hili nalo jipu
Mnao mtukana Magufuli tunawaona Kama uchafu wenye harufu mbaya ya chooni.Ndugu wana JamiiForums,
Nchi yetu imetafunwa mno na ni wakati sasa tuseme imetosha. Tumsaidie Rais Magufuli na Serikali yake kuweza kuzifahamu kero zetu za yanayotusumbua kama Watanzania ambayo tungependa yafanyiwe kazi.
Karibuni sana.
MWONGOZO: Elezea jipu/kero yako na kama ina ufafanuzi wa kutosha (nani, wapi, lini, kivipi n.k) ukiambatana na nyaraka itapendeza zaidi.
Kero hizi zitachapwa na kupelekwa kwa mamlaka husika ili zifanyiwe ufuatiliaji.
Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania
Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Rais Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Rais Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati. Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli...www.jamiiforums.com
DAladala zote nyakati za Asubuhi kusimamishwa na Traffick , kushuka na kutoa elfu mbili ambazo hazina risiti, control number wala maelezo :Ndugu wana JamiiForums,