Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

Hii kwa sasa imekua kero kubwa hata huku mbarali mbeya waIri wa ardhi apikuja na kuwataka wananchi wahame maeneo yao wanayoishi wakidai wamevamia eneo lahifadhi wakati eneo hili ni la babu na bibi zetu tangu mwaka 74 uko lkn leo mtu anakuja kuwafukuza tena akiwaita wavamizi daah inasikitisha sana
 
Jinsi mifumo na michakato ya namna ya kuajiri wafanyakazi katika kada tofauti za serkali imekua sio kuangalia sifa na vigezo thabiti
Kwenye Halmashauli za wilaya,
Bali nani ana kufahamu au wewe ni mtoto wa nani na hiyo ni nje ya Rushwa
Ila Kama ujulikani na wale wasaili hata kama unavigezo na Rushwa kwenye mifumo auingii....
 
Kuna wafanyakazi wa TANROADS wanakuwa na gari Hardbody Ya Tanroads nyeupe inasimama njia ya Msata - Bagamoyo mida ya usiku, wanakula rushwa kwa kila fuso za mizigo zinazopita njia ile.

Kwa siku wafanyakazi hao huenda nyumbani na sh3m.

Tuanze na jipu hilo kwanza maana huo mchezo ulikuwepo tangu yeye akiwa waziri wa ujenzi.

utaifakwanza
Mimi naona mabasi ya Dar=Mombasa kila siku yanaondoka yakiwa na shehena ya mizigo na bidhaa kibao. Pale mpakani Horohoro kuna maofisa wa forodha wa Kenya na Tanzania. Mizigo haikaguliwi na yanapita kiulaini. Bila shaka hapo kuna harufu ya rushwa. Je mamlaka husika zinajua haya au nao wanalamba asali?
 
Wahusika wafuatilie hii kitu.

Kuna watu Wana diploma let say

Diploma in education, tayar ana ualimu. Akasome degree ya ualimu ya kazi gani??

Pili MTU ana degree ya Sheria, uchumi. Nk huyu Alisoma diploma si inatisha?

But waitambie degree yake.
Walimu wenye degree ya sector flan na Wana certificate au diploma ya ualimu.

Hawa usipoitambia degree yake unakosea maana ana uelewa wa kina kwenye eneo husika.

Kwa. Mfano mwalimu amesoma political science and public admissions. Na ana diploma ya ualimu kwa nini ahangaishwe asome pgde??

Ni uharibifu wa Muda na uwezo. Hawa ni walimu wazuri Sana kwenye maeneo haya.

Ana LLB mwalimu mzur wa history

BBA mwalimu mzur wa commerce na book keeping

PSPA MWALIMU MZURI WA GS na HISTORY

Degree ya environment mwalimu mzuri wa geography
 
TRA tangu jmosi hakuna mtandao nchi nzima.Ukiapply tin namba unaambiwa hivyo.
Imagine,tangu jmosi hawatoi TIN nchi nzima.leo ni jtano.
Hivi nchi hii tuna shida gani yarabi?!!
 
Ndugu wana JamiiForums,

Nchi yetu imetafunwa mno na ni wakati sasa tuseme imetosha. Tumsaidie Rais Magufuli na Serikali yake kuweza kuzifahamu kero zetu za yanayotusumbua kama Watanzania ambayo tungependa yafanyiwe kazi.

Karibuni sana.

MWONGOZO: Elezea jipu/kero yako na kama ina ufafanuzi wa kutosha (nani, wapi, lini, kivipi n.k) ukiambatana na nyaraka itapendeza zaidi.

Kero hizi zitachapwa na kupelekwa kwa mamlaka husika ili zifanyiwe ufuatiliaji.

Hii ni Kero sana hakika
 
Kero kuu ni gharama za ukarabati wa kivuko huko mombasa kenya
 
Majipu yangu yapo DIT:

1) Kuna Teaching Tower imeanza kujengwa tokea 2007 lakini hadhi leo 2016 jengo halijakamilika na pia jengo limeanza kupasuka (Lina nyufa)! Sijui wanajiita wahandisi wa nini?

2) Hakuna viti vya kutosha madarasa ya A7, A8, A9, B12, B15 na T classes

3) Workshops zimejaa vumbi, hakuna feni, taa, viti , na madawati poa ni shida (All workshops except W16, 12, D2, Multimedia 1 &2 )!

4) Vyoo vimejaa na kibaya zaidi vinatiririsha maji machafu ovyo ovyo; hii ni hatari kwa afya za wanafunzi.
Ukarabati wa kivuko unaenda kuifirisi nchi
 
Ndugu wana JamiiForums,

Nchi yetu imetafunwa mno na ni wakati sasa tuseme imetosha. Tumsaidie Rais Magufuli na Serikali yake kuweza kuzifahamu kero zetu za yanayotusumbua kama Watanzania ambayo tungependa yafanyiwe kazi.

Karibuni sana.

MWONGOZO: Elezea jipu/kero yako na kama ina ufafanuzi wa kutosha (nani, wapi, lini, kivipi n.k) ukiambatana na nyaraka itapendeza zaidi.

Kero hizi zitachapwa na kupelekwa kwa mamlaka husika ili zifanyiwe ufuatiliaji.

CAG report kama haifanyiwi kazi sisi ni akina nani tufuatilie hizo rushwa?
 
Ndugu wana JamiiForums,

Nchi yetu imetafunwa mno na ni wakati sasa tuseme imetosha. Tumsaidie Rais Magufuli na Serikali yake kuweza kuzifahamu kero zetu za yanayotusumbua kama Watanzania ambayo tungependa yafanyiwe kazi.

Karibuni sana.

MWONGOZO: Elezea jipu/kero yako na kama ina ufafanuzi wa kutosha (nani, wapi, lini, kivipi n.k) ukiambatana na nyaraka itapendeza zaidi.

Kero hizi zitachapwa na kupelekwa kwa mamlaka husika ili zifanyiwe ufuatiliaji.

Mnao mtukana Magufuli tunawaona Kama uchafu wenye harufu mbaya ya chooni.
 
Ndugu wana JamiiForums,

Nchi yetu imetafunwa mno na ni wakati sasa tuseme imetosha. Tumsaidie Rais Magufuli na Serikali yake kuweza kuzifahamu kero zetu za yanayotusumbua kama Watanzania ambayo tungependa yafanyiwe kazi.

Karibuni sana.

MWONGOZO: Elezea jipu/kero yako na kama ina ufafanuzi wa kutosha (nani, wapi, lini, kivipi n.k) ukiambatana na nyaraka itapendeza zaidi.

Kero hizi zitachapwa na kupelekwa kwa mamlaka husika ili zifanyiwe ufuatiliaji.

DAladala zote nyakati za Asubuhi kusimamishwa na Traffick , kushuka na kutoa elfu mbili ambazo hazina risiti, control number wala maelezo :
 
Kumekucha

Ni kweli raisi magufuli aliruhusu mchanga wa pale daraja la dumila uchukuliwe na yeyote yule bure

Sasa hawa walioleta magari makubwa kubeba mchanga kupeleka kiwanda cha mkulanzi wanaharibu barabara kwa kubeba over tonage hawapiti mzani wanapita njia ya tuliani wanatokea mnadani pale choma mbuzi ni 1 km kutoka mizani

Ukiwauliza madereva wanakujibu wakubwa tanroad wameshalamba asali

Mkurugenzi tanroand watu wako wanakuangusha huku morogoro tuma watu wako kufuatilia

Tena wakae pale kwenye mnada utakamata hayo magari ni zaidi ya gari 15 na zinafanya trip 4 mpaka 6

Ni uharibifu mkubwa wa barabara

Tunazo picha tukiona kimya tutazipeleka mbele
 
wana jamii forum,
ishu inayoniuma mpaka kesho ni ununuzi wa haya magari ya kifahari maarufu V8 . haya magari yanaingiza hasara kubwa sana lakini kwa upana wake watu hawajaelewa au wanaelewa wanafumbia macho.

Ngazi zoote kuwa za taasisi viongozi wake wanatembelea V8ukipiga hesabu gharama zake ni kichekesho. na zipo kwenye bajeti na kila mwaka zinabadilishwa ,iaribike kidogo inapaki , boss anaandikia inafatwa nyingine . kuna hizi mpya za 2022 mpya ml480 watu wanazo makazini kwao bila uoga wakati kuna sekta zingine gawio lake walai linatia huruma . mfano magereza,

Magari ya wafungwa ni mabovu hujapata kuona lakini angalia makamishna wa magereza gari zao ni za gharama .

Hakuna gari za kubebea wafungwa hasa haya mabasi ambayo yapo vizuri . sometime unaambiwa kesi imeahirishwa basi bovu mtuhumiwa kashindwa kufika mahakamani. leo hii vitengo kibao vinatumia haya magari, majaji wote, wabunge wote, makatibu wakuu woote , wakurugenzi wa manispaa wote, mamaeya woote, wakuu wa wilaya, wakuu wa mikoa. na zoote ni ml300+ .fikiria uendeshwaji wa hayo magari kwa maana ya gharama.

juzi putin kaenda ziara ya siri ukraine yupo na v8 asa nkajiuliza kwa hela walizonazo wale lakin wanatembea sawa na sisi waomba mikopo.

bajeti juzi tamisemi imeomba magari 81. bado tunaenda kukopa pesa kwaajili ya kukamilisha bajeti IMF. na ukiangalia kuna maeneo yana miaka 30 back hayaijui barabara maji wala umeme na hizi bajeti wao hawawi vipaumbele .
 
Back
Top Bottom