Hili sio jipu baya ni jipu faida linawasaidia kupata kipato cha hapa na pale. Walimu wanamaisha duni sana.Kuna majipu bado yapo mengi mfano:
Utafiti mdogo niliofanya, umeonesha kuna shule za msingi zinaendesha tuisheni, mfano.
Shule ya msingi Tumaini na Kimanga zote shule hizi zimeunganishwa pamoja. Walimu wao wamekuwa wakiendesha tuisheni, pembeni kidogo ya shule hizo.
Walimu hao huendesha tuisheni, katika majengo ya shule ya sekondari ya wazazi iliyoko maeneo ya sokoni huko huko tabata kimanga
Chanzo mimi mwenyewe nimefanya utafiti.
Aisee umegusa penyewe. Jamaa wanaisaliti nchi kwa tamaa ya 'peanut money' afu wangejua sasa wageni wakwepa vibali wanavyowadharau.... wakipewa buku 20 tu wanatulia, njaa kama nini sijui.Jipu kubwa zaidi lipo kwa uhamiaji kuna wahamiaji haramu wanaofanya kazi bila vibali na hawana vibali vya kuishi nchini pia
Hapa kuna jipu..... funguka zaidi.... wako wapi ...hilo godwn ni lipi... n. kKwenya Kampuni Za MOHAMED INTERPRISES Kuna Wahindi Hawana Vibali wanajificha kwenye MAGODOWN VYOONI lakn usiku wanatembea kama kawaida