Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

1.Swala la kubomoa nyumba katika eneo linalodaiwa ni la uanja wa ndege dar eg: kipunguni...Ni miakazaid ya 20 imepita wananchi wanaishi kwa mashaka wakiwa hawafahamu ni lini hasa hili zoezi litatekelezwa.wakipigwa danadana kila wakati wakiliinua.
2.valuation ya miaka ya 90 sereksli inayotaka kuitumia itakuwa ni uonevu hata ukiweka inflation rate ya 10% kwa mwaka,
 
Mh Rais,

Chunguza watumishi wa NAO wanavyojipatia pesa na kuficha maovu mengi hasa katika wizara na taasisi za umma. Wao huficha maovu na kuwataka ma CEO au Wakurugenzi kuwalipa pesa nyingi ili kuficha maovu yao.

Pili ni watumishi wa hizi zinazoitwa mamlaka; mfano PPRA, TPDC, TRA. Hawa wamekuwa ni chanzo kikubwa cha kuonesha kutokuwapo na usawa Tanzania kwakuwa wanalipwa mishahara mikubwa saaana tofauti na taasisi nyingine kama serikali kuu.

Kwa hili, kuna haja ya kuangalia upya mifumo ya mishahara kwa watumishi wote wa umma
Sikatai kuongezewa mishahara kwa watumishivwengine lakini swala hili limebase ni kwa kiasi gani hiyo sector au sehemu directly inachangiaje katika uchumi wa nchi na unyeti wa kazi zake.sasa leo hii na hadle trilions za wananchi na serekali unilipe lak5 au6 kama mwalimu.haitakaa iwezekane mkuu
 
Kuna majipu bado yapo mengi mfano:

Utafiti mdogo niliofanya, umeonesha kuna shule za msingi zinaendesha tuisheni, mfano.

Shule ya msingi Tumaini na Kimanga zote shule hizi zimeunganishwa pamoja. Walimu wao wamekuwa wakiendesha tuisheni, pembeni kidogo ya shule hizo.

Walimu hao huendesha tuisheni, katika majengo ya shule ya sekondari ya wazazi iliyoko maeneo ya sokoni huko huko tabata kimanga

Chanzo mimi mwenyewe nimefanya utafiti.
Acha majungu kwani tuishen dhambii?????
 
Majuzi nimeenda hospital kilichobadilika ni kauli tu lakini huduma mbovu sana na wakati mwingine dawa hakuna. Dr magufuli bado ana kazi ngumu.

Madaktari wachache na dawa hakuna. Wadau chocheeni huduma bado mbovu.
 
Hili sote tunafahamu, wala huna haja ya kulisemea. Ni sawa na kusema kwa sauti "jamani eeh, majani yana rangi ya kijani!", as if wengine hawajui, too obvious, save your breath please.
 
Hahahahahaaaa nilikuwa nasikia kwamba Huduma sasahiv ni nzuri na unapokelewa vizur na majigambo kibao nenda utashangaa mambo ni yaleyale
 
Majuzi nimeenda hospital kilichobadilika ni kauli tu lakini huduma mbovu sana na wakati mwingine dawa hakuna. Dr magufuli bado ana kazi ngumu.

Madaktari wachache na dawa hakuna. Wadau chocheeni huduma bado mbovu.
Hivi kwa akili zenu mnategemea ati mfanyakazi wa serikali atawaogopa ninyi na vitisho vyenu wakati hampeleki pesa za vitendea kazi? CAG ameongea huyo ni mmoja, kila sector ikifunguka ni aibu. nchi hii tumekabidhi watu ambao.....mhhhhh
 
Hata hizo kauli soon zitabadilika kama mambo yataendelea kama yanavyoendelea sasa.
 
nashangaa wabunge, wakienda bungeni wakapige kelele watu wote waliofungwa kwa kugushi vyeti waachiliwe huru wawe nje kama bashite. akiongea anaonyesha kiburi cha kishetani hadi unatamani kutapika.
 
Taja moja tu moja Kwa moja Bila kuzunguka tuone tatizo liko wapi? Taja moja ambalo Kwa mujibu wa katiba lipo ndani ya uwezo wa rais na halihitaji nguvu nyingi zaidi ya maamuzi tu Bila kujali siasa. Jambo lenyewe liwe linagusa kweli kweli Maslahi ya wanyonge liwe linasaidia mamilioni ya watu na unahisi bado halijafanyika na tatizo liko ndani ya mamlaka hio kuu. Moja tu likifanyika utapata Imani kuwa rais magufuli anamaanisha na labda pengine ni changamoto fulani zinatatiza. Moja tu
 
Back
Top Bottom