TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikatai kuongezewa mishahara kwa watumishivwengine lakini swala hili limebase ni kwa kiasi gani hiyo sector au sehemu directly inachangiaje katika uchumi wa nchi na unyeti wa kazi zake.sasa leo hii na hadle trilions za wananchi na serekali unilipe lak5 au6 kama mwalimu.haitakaa iwezekane mkuuMh Rais,
Chunguza watumishi wa NAO wanavyojipatia pesa na kuficha maovu mengi hasa katika wizara na taasisi za umma. Wao huficha maovu na kuwataka ma CEO au Wakurugenzi kuwalipa pesa nyingi ili kuficha maovu yao.
Pili ni watumishi wa hizi zinazoitwa mamlaka; mfano PPRA, TPDC, TRA. Hawa wamekuwa ni chanzo kikubwa cha kuonesha kutokuwapo na usawa Tanzania kwakuwa wanalipwa mishahara mikubwa saaana tofauti na taasisi nyingine kama serikali kuu.
Kwa hili, kuna haja ya kuangalia upya mifumo ya mishahara kwa watumishi wote wa umma
Acha majungu kwani tuishen dhambii?????Kuna majipu bado yapo mengi mfano:
Utafiti mdogo niliofanya, umeonesha kuna shule za msingi zinaendesha tuisheni, mfano.
Shule ya msingi Tumaini na Kimanga zote shule hizi zimeunganishwa pamoja. Walimu wao wamekuwa wakiendesha tuisheni, pembeni kidogo ya shule hizo.
Walimu hao huendesha tuisheni, katika majengo ya shule ya sekondari ya wazazi iliyoko maeneo ya sokoni huko huko tabata kimanga
Chanzo mimi mwenyewe nimefanya utafiti.
Hivi kwa akili zenu mnategemea ati mfanyakazi wa serikali atawaogopa ninyi na vitisho vyenu wakati hampeleki pesa za vitendea kazi? CAG ameongea huyo ni mmoja, kila sector ikifunguka ni aibu. nchi hii tumekabidhi watu ambao.....mhhhhhMajuzi nimeenda hospital kilichobadilika ni kauli tu lakini huduma mbovu sana na wakati mwingine dawa hakuna. Dr magufuli bado ana kazi ngumu.
Madaktari wachache na dawa hakuna. Wadau chocheeni huduma bado mbovu.
Hilo linasaidia vipi mamilioni ya watu waliopo vijijini Kwa mfano. Na je una uhakika Hilo tu kitakufanya uamini kweli magufuli ni rais wa wanyonge.. Jukumu Hilo umeliona ni gumu Sana na ni muhimu Sana kutekelezwa??? Upo seriousKumfuta bashite kazi