ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Nataka nigundue msingi wa wanaompinga magufuli umelala sehemu Gani? Ni Kwa ajili ya mabishano ya kisiasa? Kama tulivozoea? Au ni Kwa ajili ya kutetea Maslahi ya wengiKwa nini liwe moja?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nataka nigundue msingi wa wanaompinga magufuli umelala sehemu Gani? Ni Kwa ajili ya mabishano ya kisiasa? Kama tulivozoea? Au ni Kwa ajili ya kutetea Maslahi ya wengiKwa nini liwe moja?
Hizo double standard ni yeye anafanya au vyombo husika.. Kama ni yeye anamuoenea mtu Sasa wewe unakuwa unajuaje kama ni kweli kaonewa au katenda kosa kweli.. Kati yako na rais Nani anauwezo wa kupata taarifa nyingi achilia mbali usahihi wa hizo taarifa... Na kama ni yeye anafanya double standard kutokana na KAULI zake je akiamua kuwa km bubu akawa anafanya kazi na haonekani public mara Kwa mara..je utaridhika?Kusiwe na double standards katika utendaji wake. Akumbuke RAIA wote tuna hadhi sawa mbele ya sheria!
Ziara IWE maalumu Kwa ajili ya kitu Gani? Huoni litakuwa tukio km mengine..Afanye ziara koromije n.a. iwe live
Umejuaje kama halipi kodiAlipe kodi.
Nataka nigundue msingi wa wanaompinga magufuli umelala sehemu Gani? Ni Kwa ajili ya mabishano ya kisiasa? Kama tulivozoea? Au ni Kwa ajili ya kutetea Maslahi ya wengi
hili swali lako linaweza kuwa gumu na kuwa na wachangiaji wachache kwa kuwa wengi bado ni kama tunaendeshwa na upepo na hatujui tunataka nini hasa zaidi ya kujipanga kushindana na serikali na sio kutafuta fursa ufanyiwe nini?Nataka nigundue msingi wa wanaompinga magufuli umelala sehemu Gani? Ni Kwa ajili ya mabishano ya kisiasa? Kama tulivozoea? Au ni Kwa ajili ya kutetea Maslahi ya wengi