Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

Ni rahisi sana kuuhamisha Mlima Kilimanjaro na kuupeleka Mkoa mwingine wowote ,kuliko kuunda Tume kwa ajili ya Uchunguzi wa Nyumba za Serikali..

Ni kama kumshika Simba Mkia aisee...
 
HII FUMUA FUMUA IPITE KILA SECTOR JAMANI WENGI TUTAUZA NAO NYANYA
 
Baada ya RIPOTI MBILI ZA 'MCHANGA' Sasa tunamwomba Mhe. Rais aunde TUME MAALUM kuchunguza UUZWAJI WA KIFISADI WA NYUMBA ZA SERIKALI.
Anza na Sumaye kwanza. Kwa nini unamkwepa?
 
Nyumba zingine walihonga mahawara ndo mana Chenge hawawezi mgusa kirahisi anajua sehemu gani nikishika panauma..
 
Back
Top Bottom