Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajichunguze itawezekana?Baada ya RIPOTI MBILI ZA 'MCHANGA' Sasa tunamwomba Mhe. Rais aunde TUME MAALUM kuchunguza UUZWAJI WA KIFISADI WA NYUMBA ZA SERIKALI.
Hapa napo panastahili kuangaliwa. Ndicho kipimo kizuri cha uzalendo wakeAjichunguze itawezekana?
Hapa napo panastahili kuangaliwa. Ndicho kipimo kizuri cha uzalendo wake
Ni kama umepanic!Baada ya RIPOTI MBILI ZA 'MCHANGA' Sasa tunamwomba Mhe. Rais aunde TUME MAALUM kuchunguza UUZWAJI WA KIFISADI WA NYUMBA ZA SERIKALI.
Baada ya RIPOTI MBILI ZA 'MCHANGA' Sasa tunamwomba Mhe. Rais aunde TUME MAALUM kuchunguza UUZWAJI WA KIFISADI WA NYUMBA ZA SERIKALI.
Anza na Sumaye kwanza. Kwa nini unamkwepa?Baada ya RIPOTI MBILI ZA 'MCHANGA' Sasa tunamwomba Mhe. Rais aunde TUME MAALUM kuchunguza UUZWAJI WA KIFISADI WA NYUMBA ZA SERIKALI.
Sumaye ndo alihonga nyumba za serikali kwa mahawara zake???Anza na Sumaye kwanza. Kwa nini unamkwepa?
Yaani unamkwepa Sumaye hivi hivi. Unajifanya umekuwa kipofu?Sumaye ndo alihonga nyumba za serikali kwa mahawara zake???
Mikataba wa MV Bagamoyo, Mikataba wa Uuzaji wa Nyumba za Serikali, Ununuzi wa Bombardier nayo ipelekwe Bungeni ili tujue mbivu na MbichiNi kama umepanic!
Kama anahusika sheria ichukue mkondo wake kila mtu atavuna alichopanda kwa muda wake.Anza na Sumaye kwanza. Kwa nini unamkwepa?
Kama?Kama anahusika...
Sumaye ndo alihonga nyumba za serikali kwa mahawara zake???
Mikataba wa MV Bagamoyo, Mikataba wa Uuzaji wa Nyumba za Serikali, Ununuzi wa Bombardier nayo ipelekwe Bungeni ili tujue mbivu na Mbichi