Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna siku 1 nilikuwa kijj ki1 kinaitwa Masurura wiliaya ya Butiama kwa mishe zangu, ikawa nimekaa na wenyeji grossary 1 hiv 2napata 1 moto 1 baridi, bila uoga bwana m1 ambae anamiliki lorry ya kusomba mchanga anajisifia kuwa anapokea pesa ya TASAF. Pesa ambayo walengwa ni maskini. Hii iliniuma sana.Wana Jf
Nadhani kila mtu apendi wizi, anapenda kula kwa jasho halali. Kama hivyo basi hakuna budi kuanzisha thread ya kuwataja wana mtandao wa makosa tajwa na takukuru ifuatilie waliotajwa ili warudishe mali ya umma. Mfano waliouza NMC , RTC TIPPER , UDA na wengine waliohua mashirika makusudi . vile vile waliotapeli viwanja wazi, viwanja vya shule za umma, walijimilokisha magari ya serikali au kujiuzia kwa bei chee na hasa mtu yeyeto aliyehujumu nchi kwa manufaa yake. Tuzingatie tusijaze uongo bali ushahidi wa kutosha hata kama mali zimeandikishwa kwa watu wengine.
Wasaidie kwa kupeleka maelezo hukohuko ofisini kwao. Ukileta majina huku kwa hisia ama chuki tu ni kuchafua watu.
Huko ofisini kwao majina yamejaa tele lakini hawayafanyii kazi kwakuwa wako kwa kukomoa zaidi na sio weledi.
katika kujenga nyumba ni vema uanze na msingi wa mawe then waweza kumalizia na matofali ya tope na nyumba yaweza kudumu mda mrefu sana, hivyo huwezi ukaanza na tope na kumalizia na mawe.Wewe kama amekutuma mwambie afanye yote anayofanya lakini ahakikishe mzunguko wa fedha aliouua ameurekebisha na hela zipatikane mtaani, vinginevyo hamna anayemuelewa.