Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Usiku wa kiza kwa sasa unataka kuondoka, CHADEMA ya asili ipo njiani kurejea, chadema ya hari, haki, uwajibikaji, umakini, chadema ile isiyofumbia macho ufisadi, chadema isiyo ya uchawa, chadema isiyo ya vikundi vya kujinufaisha ambao ndio hao wameshaanza kupiga kelele, kwa hofu, wameshazoea kutafuna huku wanachadema halisi wa damu na jasho wakisota kwa tumaini ambalo haliwezi kutimia kwa sababu ya Uongozi uliopo ni wa Maghorofa, kula na kunywa.
WE NEED LISSU, KUREJESHA TUMAINI JIPYA KWA WATANZANIA!
WE NEED LISSU, KUREJESHA TUMAINI JIPYA KWA WATANZANIA!