Toka Lissu atangaze kugombea nafasi ya uenyekiti, sasa nahitaji kadi ya CHADEMA!

Toka Lissu atangaze kugombea nafasi ya uenyekiti, sasa nahitaji kadi ya CHADEMA!

Kwamba mlitaka awe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tz yenye wananchi zaidi ya milioni 60+ ila hawezi kuwa Mwenyekiti wa CDM? Hii ni fallacy
Kabisa, Lissu anaweza kuwa rais wa JMT lakini sio mwenyekiti wa CDM. Na angeshinda urais tusingempa uenyekiti wa CDM hata kidogo.
 
Kwa nini , kuongoza sio lissu tu, ata Mbowe kuongoza chama peke yake hawezi , chama inaongozwa as a team , lissu anafaa, Mbowe anafaa, tuache kura ziongee , mmezidi kuwa wanafiki.

Kama uchaguzi wa 2020 ungekua fair lissu angekua Rais , so chama na nchi kipi kikubwa ? Pumbavu
Kuongoza nchi ukiwa rais ni rahisi sana hata wewe unaweza lakini kuongoza chama cha upinzani kisichokuwa madarakani kinataka hekima na maarifa makubwa sana, Lissu hana hivyo vitu.
 
Kwa sasa ndani ya CDM na nje ya chama na TANZANIA kwa ujumla hakuna mtu mwenye ushawishi kama LISSU

Rejea operation zilizotoka kuhitimishwa na chama +255 okoa bandari zetu zilivyokuwa zinatekelezwa

Team ya mwenyekiti ilikuwa inatumika chopa hadi jukwaa lakini team ya makamu yenyewe ilikuwa inatumia gari wakati mwingine hata jukwaa ambalo halina uimara

Na sehem zote ambazo ambazo mwenyekiti alikuwa anapita ni sehemu ambazo tunauhai lakini makamu alipita sehemu ambazo chama hakina uhai

Mwisho CDM bila Mbowe ni imara zaidi kama ya 2015 kwenda 2010 lakini CDM bila LISSU ni sawa na UDP ya CHEYO ya Leo
Wewe utakuwa ni mwanachama wa CCM sema tu ukweli sheikhe.
 
Kuongoza nchi ukiwa rais ni rahisi sana hata wewe unaweza lakini kuongoza chama cha upinzani kisichokuwa madarakani kinataka hekima na maarifa makubwa sana, Lissu hana hivyo vitu.
Mkuu tulia sisi ndo wataalam ,ccm mnapoelekea kitasimama chuma ( John Heche) alafu Lissu na Mbowe wanawekwa kando kwanza , icho chuma kikikaa pale lissu ,Mbowe cha mtoto ,ccm mtapelekewa moto hamjawahi kuona
 
Wewe utakuwa ni mwanachama wa CCM sema tu ukweli sheikhe.
Nashukuru kwa kuwa wewe ndiye uliyenikatia kadi ya CCM

Kama kweli wewe ni CDM sizani kama utapingana na mawazo yangu

Narudia tena kwa sasa tz hakuna mwanasiasa ambaye anaushawishi kumzidi Lissu

Mwisho ikiwa wewe ni mjumbe wa mkutano mkuu kampigia Lissu Ili kuhuisha Ari ya chama upya , na kama utaendelea kushupaza shingo yako jiandae kuiona CDM kama UDP ya leo
 
Back
Top Bottom