Toka Lissu atangaze kugombea nafasi ya uenyekiti, sasa nahitaji kadi ya CHADEMA!

Toka Lissu atangaze kugombea nafasi ya uenyekiti, sasa nahitaji kadi ya CHADEMA!

Kama una nia ya dhati na hayo uliyoyaongea yanatoka Moyoni karibu CHADEMA.
 
Usiku wa kiza kwa sasa unataka kuondoka, CHADEMA ya asili ipo njiani kurejea, chadema ya hari, haki, uwajibikaji, umakini, chadema ile isiyofumbia macho ufisadi, chadema isiyo ya uchawa, chadema isiyo ya vikundi vya kujinufaisha ambao ndio hao wameshaanza kupiga kelele, kwa hofu, wameshazoea kutafuna huku wanachadema halisi wa damu na jasho wakisota kwa tumaini ambalo haliwezi kutimia kwa sababu ya Uongozi uliopo ni wa Maghorofa, kula na kunywa.

WE NEED LISSU, KUREJESHA TUMAINI JIPYA KWA WATANZANIA!

View attachment 3177773
Mwenyekiti wa Walemavu?au sijaelewa hapa
 
Mwenyekiti wa Walemavu?au sijaelewa hapa
Kwa kuwa ameonyesha kugombea sasa mmeanza kumpa majina ya HOVYO HOVYO, ya kutweza utu wa binadamu, kweli uenyekiti chadema is Untouchable!...
 
Usiku wa kiza kwa sasa unataka kuondoka, CHADEMA ya asili ipo njiani kurejea, chadema ya hari, haki, uwajibikaji, umakini, chadema ile isiyofumbia macho ufisadi, chadema isiyo ya uchawa, chadema isiyo ya vikundi vya kujinufaisha ambao ndio hao wameshaanza kupiga kelele, kwa hofu, wameshazoea kutafuna huku wanachadema halisi wa damu na jasho wakisota kwa tumaini ambalo haliwezi kutimia kwa sababu ya Uongozi uliopo ni wa Maghorofa, kula na kunywa.

WE NEED LISSU, KUREJESHA TUMAINI JIPYA KWA WATANZANIA!

View attachment 3177773
Sawa karibu chama kubwa
 
CDM ni kubwa ila Lissu hafai kuwa kiongozi mkuu CDM.
Kwa nini , kuongoza sio lissu tu, ata Mbowe kuongoza chama peke yake hawezi , chama inaongozwa as a team , lissu anafaa, Mbowe anafaa, tuache kura ziongee , mmezidi kuwa wanafiki.

Kama uchaguzi wa 2020 ungekua fair lissu angekua Rais , so chama na nchi kipi kikubwa ? Pumbavu
 
Yaani Mbowe akithubutu japo kujaribu tu kutaka kugombea nafasi aliyoihudumu kwa miaka zaidi ya 20 nitamuona ni mtu wa ajabu sana tena mhujumu mabadiliko kwa maslahi binafsi!!.
 
Kama uchaguzi utakuwa huru na haki, Lissu ajiandae kuwa mwanachama wa kawaida CDM.
 
wanachadema wameshtukia nia na dhamira ovu ya huyo muungwana anaekusudia kuipata nafasi ya uenyekiti ili apitishe pesa chafu za mabwenyenye ya magharibi, kwasababu wanaomfadhili wamamlazimisha kwamba yeye ndie anapaswa kua mwenyekiti wa chama atakae kua ana control pesa atakazikua anatumiwa ili kukivunga chama na Tanzania kwa ujumla.

Tumeona pia ubinafsi wake katika kutumia rasilimali za chama mathalani,

anatumia platforms za Chadema kwa maslahi binafsi, kuombaomba kuchangiwa vitu mbalimbali, kudai fidia binafsi tigo na serikalini n.k.

haya ni matumizi mabaya ya ofisi za uma kwa mambo ya kifamilia 🐒
Huna akili, Rudi tumboni uzaliwe upya
 
CDM ni kubwa ila Lissu hafai kuwa kiongozi mkuu CDM.
Kwamba mlitaka awe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tz yenye wananchi zaidi ya milioni 60+ ila hawezi kuwa Mwenyekiti wa CDM? Hii ni fallacy
 
hofu kuu ni kwamba kwa kuwa kuna ndoa kati ya ccm na mbowe, tutarajie fedha nyingi kumjia mbowe toka ccm hivyo Wajumbe kujazwa mafedha, nitafurahi endapo Wajumbe watazitafuna na watagoma kumchagua mbowe, natizama mbali kweli.......
 
Back
Top Bottom