Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Wewe sio CHADEMA sema ni mnufaika wa uongozi uliopo kwa sasaCDM ni kubwa ila Lissu hafai kuwa kiongozi mkuu CDM.
Hata kidogo ila Lissu ataibomoa CDM hafai leo wala kesho kwa hulka yake.Wewe sio CHADEMA sema ni mnufaika wa uongozi uliopo kwa sasa
Siasa maandazi. Kwa hiyo unakuja kwa sababu ya mtu. Amelaaniwa amtegemeae binadamu (Yer 17:5). Na huyo Lissu wako akifa je?Usiku wa kiza kwa sasa unataka kuondoka, CHADEMA ya asili ipo njiani kurejea, chadema ya hari, haki, uwajibikaji, umakini, chadema ile isiyofumbia macho ufisadi, chadema isiyo ya uchawa, chadema isiyo ya vikundi vya kujinufaisha ambao ndio hao wameshaanza kupiga kelele, kwa hofu, wameshazoea kutafuna huku wanachadema halisi wa damu na jasho wakisota kwa tumaini ambalo haliwezi kutimia kwa sababu ya Uongozi uliopo ni wa Maghorofa, kula na kunywa.
WE NEED LISSU, KUREJESHA TUMAINI JIPYA KWA WATANZANIA!
View attachment 3177773
Akili za kanisani hiziπSiasa maandazi. Kwa hiyo unakuja kwa sababu ya mtu. Amelaaniwa amtegemeae binadamu (Yer 17:5). Na huyo Lissu wako akifa je?
=====Hata kidogo ila Lissu ataibomoa CDM hafai leo wala kesho kwa hulka yake.
kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi hawezi kupewa nafasi wala fursa ya kuivuruga chadema atajiengua mapema kabla ya uchaguzi huo kwa madai yake hewa ya rafu za uchaguzi kukwepa aibu na fedhaha ya kushindwa vibaya uchaguzi huo πUsiku wa kiza kwa sasa unataka kuondoka, CHADEMA ya asili ipo njiani kurejea, chadema ya hari, haki, uwajibikaji, umakini, chadema ile isiyofumbia macho ufisadi, chadema isiyo ya uchawa, chadema isiyo ya vikundi vya kujinufaisha ambao ndio hao wameshaanza kupiga kelele, kwa hofu, wameshazoea kutafuna huku wanachadema halisi wa damu na jasho wakisota kwa tumaini ambalo haliwezi kutimia kwa sababu ya Uongozi uliopo ni wa Maghorofa, kula na kunywa.
WE NEED LISSU, KUREJESHA TUMAINI JIPYA KWA WATANZANIA!
View attachment 3177773
Apart from religions issue,Siasa maandazi. Kwa hiyo unakuja kwa sababu ya mtu. Amelaaniwa amtegemeae binadamu (Yer 17:5). Na huyo Lissu wako akifa je?
CDM need good management! And strong leadership, chadema ya leo is toothless haiwezi lolote, chadema hii ni ya wala bata na kugawana kinachopatikana, bendera tu huko mitaani ni chakavu, ngazi za chini kwishaaa, 120ml, mgawo wa ruzuku siyo haba, endapo kama kuna dhati ya kweli ya kwenda vijijini kipande kwa kipande kuimarisha chama na kujenga misingi imara, (kula, kunywa, kukopeshana) ndicho kilichopo kwa sasa,.kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi hawezi kupewa nafasi wala fursa ya kuivuruga chadema atajiengua mapema kabla ya uchaguzi huo kwa madai yake hewa ya rafu za uchaguzi kukwepa aibu na fedhaha ya kushindwa vibaya uchaguzi huo π
wanachadema wameshtukia nia na dhamira ovu ya huyo muungwana anaekusudia kuipata nafasi ya uenyekiti ili apitishe pesa chafu za mabwenyenye ya magharibi, kwasababu wanaomfadhili wamamlazimisha kwamba yeye ndie anapaswa kua mwenyekiti wa chama atakae kua ana control pesa atakazikua anatumiwa ili kukivunga chama na Tanzania kwa ujumla.CDM need good management! And strong leadership, chadema ya leo is toothless haiwezi lolote, chadema hii ni ya wala bata na kugawana kinachopatikana, bendera tu huko mitaani ni chakavu, ngazi za chini kwishaaa, 120ml, mgawo wa ruzuku siyo haba, endapo kama kuna dhati ya kweli ya kwenda vijijini kipande kwa kipande kuimarisha chama na kujenga misingi imara, (kula, kunywa, kukopeshana) ndicho kilichopo kwa sasa,.
Kwa sasa ndani ya CDM na nje ya chama na TANZANIA kwa ujumla hakuna mtu mwenye ushawishi kama LISSUHata kidogo ila Lissu ataibomoa CDM hafai leo wala kesho kwa hulka yake.
CCM HAS ALRESDY INVEST TO MBOWE, CCM HAIWEZI KUFURAHI LISSU ASHIKE UONGOZI, CCM ITAPATA HASARA FOR WHAT THEY DID, TUTAPATA CHADEMA MPYA BAADA YA LISSU KUSHIKA UENYEKITI ALTHOUGH IT'S NOT AN EASY JOBwanachadema wameshtukia nia na dhamira ovu ya huyo muungwana anaekusudia kuipata nafasi ya uenyekiti ili apitishe pesa chafu za mabwenyenye ya magharibi, kwasababu wanaomfadhili wamamlazimisha kwamba yeye ndie anapaswa kua mwenyekiti wa chama atakae kua ana control pesa atakazikua anatumiwa ili kukivunga chama na Tanzania kwa ujumla.
Tumeona pia ubinafsi wake katika kutumia rasilimali za chama mathalani,
anatumia platforms za Chadema kwa maslahi binafsi, kuombaomba kuchangiwa vitu mbalimbali, kudai fidia binafsi tigo na serikalini n.k.
haya ni matumizi mabaya ya ofisi za uma kwa mambo ya kifamilia π
Crocodiletooth wa before 2016 alikuwa ni CHADEMA Kindakindaki. Nikaja kushangaa ghafla anaisapoti CCM dhidi ya CHADEMA. Unless ulikuwa na grievances dhidi ya Uongozi.Usiku wa kiza kwa sasa unataka kuondoka, CHADEMA ya asili ipo njiani kurejea, chadema ya hari, haki, uwajibikaji, umakini, chadema ile isiyofumbia macho ufisadi, chadema isiyo ya uchawa, chadema isiyo ya vikundi vya kujinufaisha ambao ndio hao wameshaanza kupiga kelele, kwa hofu, wameshazoea kutafuna huku wanachadema halisi wa damu na jasho wakisota kwa tumaini ambalo haliwezi kutimia kwa sababu ya Uongozi uliopo ni wa Maghorofa, kula na kunywa.
WE NEED LISSU, KUREJESHA TUMAINI JIPYA KWA WATANZANIA!
View attachment 3177773
Thanks for just keeping records!, βCrocodiletooth wa before 2016 alikuwa ni CHADEMA Kindakindaki. Nikaja kushangaa ghafla anaisapoti CCM dhidi ya CHADEMA. Unless ulikuwa na grievances dhidi ya Uongozi.
Back to the topic, hakika reforms zinahitajika ndani ya CHADEMA. Kwa sasa ni ngumu sana Kuweza kushawishi vijana waliozaliwa kuanzia 2004 wakamkuta Mbowe, wamezaa na watoto wao wanaongea bado wanamuona Mbowe Mwenyekiti wa CHADEMA. Lazima Viongozi watambue wanaowaongoza sio wajinga. Wana utashi na utambuzi. Iwapo wataona Kuna ubabaishaji Kwa Viongozi watawasusia Chama chao.
so,CCM HAS ALRESDY INVEST TO MBOWE, CCM HAIWEZI KUFURAHI LISSU ASHIKE UONGOZI, CCM ITAPATA HASARA FOR WHAT THEY DID, TUTAPATA CHADEMA MPYA BAADA YA LISSU KUSHIKA UENYEKITI ALTHOUGH IT'S NOT AN EASY JOB