Toka Lissu atangaze kugombea nafasi ya uenyekiti, sasa nahitaji kadi ya CHADEMA!

Kama una nia ya dhati na hayo uliyoyaongea yanatoka Moyoni karibu CHADEMA.
 
Mwenyekiti wa Walemavu?au sijaelewa hapa
 
Mwenyekiti wa Walemavu?au sijaelewa hapa
Kwa kuwa ameonyesha kugombea sasa mmeanza kumpa majina ya HOVYO HOVYO, ya kutweza utu wa binadamu, kweli uenyekiti chadema is Untouchable!...
 
Sawa karibu chama kubwa
 
CDM ni kubwa ila Lissu hafai kuwa kiongozi mkuu CDM.
Kwa nini , kuongoza sio lissu tu, ata Mbowe kuongoza chama peke yake hawezi , chama inaongozwa as a team , lissu anafaa, Mbowe anafaa, tuache kura ziongee , mmezidi kuwa wanafiki.

Kama uchaguzi wa 2020 ungekua fair lissu angekua Rais , so chama na nchi kipi kikubwa ? Pumbavu
 
Yaani Mbowe akithubutu japo kujaribu tu kutaka kugombea nafasi aliyoihudumu kwa miaka zaidi ya 20 nitamuona ni mtu wa ajabu sana tena mhujumu mabadiliko kwa maslahi binafsi!!.
 
Kama uchaguzi utakuwa huru na haki, Lissu ajiandae kuwa mwanachama wa kawaida CDM.
 
Huna akili, Rudi tumboni uzaliwe upya
 
CDM ni kubwa ila Lissu hafai kuwa kiongozi mkuu CDM.
Kwamba mlitaka awe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tz yenye wananchi zaidi ya milioni 60+ ila hawezi kuwa Mwenyekiti wa CDM? Hii ni fallacy
 
hofu kuu ni kwamba kwa kuwa kuna ndoa kati ya ccm na mbowe, tutarajie fedha nyingi kumjia mbowe toka ccm hivyo Wajumbe kujazwa mafedha, nitafurahi endapo Wajumbe watazitafuna na watagoma kumchagua mbowe, natizama mbali kweli.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…