Toka Lissu atangaze kugombea nafasi ya uenyekiti, sasa nahitaji kadi ya CHADEMA!

Kwamba mlitaka awe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tz yenye wananchi zaidi ya milioni 60+ ila hawezi kuwa Mwenyekiti wa CDM? Hii ni fallacy
Kabisa, Lissu anaweza kuwa rais wa JMT lakini sio mwenyekiti wa CDM. Na angeshinda urais tusingempa uenyekiti wa CDM hata kidogo.
 
Kuongoza nchi ukiwa rais ni rahisi sana hata wewe unaweza lakini kuongoza chama cha upinzani kisichokuwa madarakani kinataka hekima na maarifa makubwa sana, Lissu hana hivyo vitu.
 
Wewe utakuwa ni mwanachama wa CCM sema tu ukweli sheikhe.
 
Kuongoza nchi ukiwa rais ni rahisi sana hata wewe unaweza lakini kuongoza chama cha upinzani kisichokuwa madarakani kinataka hekima na maarifa makubwa sana, Lissu hana hivyo vitu.
Mkuu tulia sisi ndo wataalam ,ccm mnapoelekea kitasimama chuma ( John Heche) alafu Lissu na Mbowe wanawekwa kando kwanza , icho chuma kikikaa pale lissu ,Mbowe cha mtoto ,ccm mtapelekewa moto hamjawahi kuona
 
Wewe utakuwa ni mwanachama wa CCM sema tu ukweli sheikhe.
Nashukuru kwa kuwa wewe ndiye uliyenikatia kadi ya CCM

Kama kweli wewe ni CDM sizani kama utapingana na mawazo yangu

Narudia tena kwa sasa tz hakuna mwanasiasa ambaye anaushawishi kumzidi Lissu

Mwisho ikiwa wewe ni mjumbe wa mkutano mkuu kampigia Lissu Ili kuhuisha Ari ya chama upya , na kama utaendelea kushupaza shingo yako jiandae kuiona CDM kama UDP ya leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…