Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Unatembea na bastola ili kujihami dhidi ya vijana wadogo (under 20).Mie si mshari, mchokozi na wala sina hasira.
Lakini toka majuzi panya rodi walipotetemesha hadi Kunduchi nikaona sasa wacha mbwai iwe mbwai.
Wanaume wa kanda Maalum Musoma wamezidi kutucheka.
Panya rodi mkiniona na subaru ya bluu na nakunywa mitaa ya Kunduchi njooni mnisalimie.
Nina salaam zenu.
Mzee panga hiloUnatembea na bastola ili kujihami dhidi ya vijana wadogo (under 20).
Utafia vip jela tena kwa kuua wezi?? Mtu akikuvamia as long as hakujui huwa anajiandaa kwa lolote na kifo kikiwemoYaani ukafie jela kwa kuua panya rod, heri uuwe tembo utoe meno ukikamatwa ujue moja
Self defence...hii inaruhusiwa kisheria.Yaani ukafie jela kwa kuua panya rod, heri uuwe tembo utoe meno ukikamatwa ujue moja
yani ushindwe kuwashusha hata watano kisa unaogopa jela kwanza ikishalia ile hamna mtu atabaki hapo so utapata upenyo wa kukimbia gari unaweza kuifata keshoYaani ukafie jela kwa kuua panya rod, heri uuwe tembo utoe meno ukikamatwa ujue moja
Wewe jamaa umenifanya nicheke sanayani ushindwe kuwashusha hata watano kisa unaogopa jela kwanza ikishalia ile hamna mtu atabaki hapo so utapata upenyo wa kukimbia gari unaweza kuifata kesho
Pistola ni ya kubeba muda wote, sasa wewe unaiachaje nyumbani!Mie si mshari, mchokozi na wala sina hasira.
Lakini toka majuzi panya rodi walipotetemesha hadi Kunduchi nikaona sasa wacha mbwai iwe mbwai.
Wanaume wa kanda Maalum Musoma wamezidi kutucheka.
Panya rodi mkiniona na subaru ya bluu na nakunywa mitaa ya Kunduchi njooni mnisalimie.
Nina salaam zenu.
Kitu cha kawaida hicho!On behalf…
So umekuja kutuambia unamiliki pisto? Unakaa Kunduchi na una drive Subaru 😎
Hongera kwa kuwa uchumi wa kati..
Mkuu panga halina umri, ni makali tu!Unatembea na bastola ili kujihami dhidi ya vijana wadogo (under 20).
Panga halina umri, likikukata kichwani hutasema panga hilo ni underage.Yaani ukafie jela kwa kuua panya rod, heri uuwe tembo utoe meno ukikamatwa ujue moja
Nafikiri kuanzia laki nne waweza pata!Hivi kumiliki mguu wa kuku bongo niandae kama sh. Ngapi?