Toka majuzi natembea na bastola yangu, panya road hamjambo?

On behalf…

So umekuja kutuambia unamiliki pisto? Unakaa Kunduchi na una drive Subaru [emoji41]

Hongera kwa kuwa uchumi wa kati..
Uchumi wa kati ni neno lako lkn[emoji28]
 
Hivi kumiliki mguu wa kuku bongo niandae kama sh. Ngapi?
Nadhani kununua sio gharama sana ni kuanzia 2M hiyo ni mpya kabisa japo zipo used na kwa bei nafuu pia gharama inategemea na unataka ya ukubwa gani changamoto kubwa ipo kwenye vibali hii kitu ina mlolongo mrefu sana vibali vyake na kumbuka una nunua kwanza halafu ngoma inakaa storage ukipata kibali ndio unaenda kuichukua
 

Huo mwandiko hata baiskel hauna
 
Kwani siku zote kabla ya panya road ulikuwa unamwachia nani nyumbani Siku zote unatakiwa utembee nayo utakuja kunishukuru baadae
 
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…