Toka Messi apewe Ballon d'Or ya 8 kwa wizi sijui amekuaje!

Sasa Ronaldo anaingiaje hapa jamani? Mtu kauliza swali lingine mnaleta mambo ya kombe la dunia.

Kombe lenyewe la mechi za kufix ili ashinde!
Rubbish.
Rubbish kwa sababu hakushinda ronaldo?
Mpira wa miguu ni team work sio mtu mmoja, haya matokeo mabaya ya messi ni kawaida kwenye mpira na hawezi kuwa na ubora ule ule katika kipindi chote cha maisha ya soka, na hii ndio sababu tuzo zote hana yeye wala huyo anaeonekana ni bora zaidi. Mpira ni nyakati zikipita ndio basi, nyakati za messi na ronaldo ndio zinafika ukingoni, tukubali tukatae huo ndio uhalisia.
 
Sasa Mkuu si kila mtu ana maoni yake jamani?
Hatuwezi kuwa na mtazamo unaofanana.

Yes, kulikuwa na nguvu kubwa ya FIFA kuonesha walitaka Messi ashinde kabla na baada ya fainali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…