toka nimwambie mie ni bikira mmmh!

Kuna kitu kimenishangaza kwene hili, Wanaume walewale waliosema mtu akiolewa bila bikira anachukuliwa alikuwa malaya ndo hao hao wanasema. Bikira ya nini??

Haya wababa/wakaka, jpili njema.
 
Hivi unajua ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu??? Boyfriend wako anajuaje na hamjadu ze nidiful??? Wewewe kuwa makinii alooohhh

c nilimwambia! kwani nlivosema na u jf nmedu na nyie? mie sio mwongo bana, uongo wht 4? mi nahitaji ushauri na ili upate ushauri mzuri unaitajika ujieleze vizur na ukwel!
 
Hiyo bikira unayo kweli au zuga tu. Issue siyo bikira, kama anakupenda na wewe unampenda mjadili. Mnapokuwa marafiki, ninyi ndo mnaamua urafiki wenu uelekee wapi, ukiringia bikira itakuozea!
 
Huyo anatamani hiyo bikra yako akisha ikata huyoooooooo anaenda kwa wazoefu na kukusababishia machungu
 
Hiyo bikra kweli unayo au ndo kuuza sura tu jukwaani hapa?
Una uhakika ipo na nani alikupima na akaiona?
 
Kwa hiyo wewe ndo kiongozi wa mandamano ya kuhamasisha uzinzi???
 
kama xperience inahitajika wale fresh from school ndo inakuwaje?, hii sio applicatino ya kazi ujue! ni mapenzi!!!!
 
Kuna kitu kimenishangaza kwene hili, Wanaume walewale waliosema mtu akiolewa bila bikira anachukuliwa alikuwa malaya ndo hao hao wanasema. Bikira ya nini??

Haya wababa/wakaka, jpili njema.
hata mie natafakari bila majibu hapa! bikira sijui wanazitaka au hawazitaki:A S-confused1:

j2 njema pia
 
kama xperience inahitajika wale fresh from school ndo inakuwaje?, hii sio applicatino ya kazi ujue! ni mapenzi!!!!

Kati umri huo alio nao ni kweli hana bikra au hajawahi fanya mapenzi?
 
Hakikisha unayafanyia kazi sio unamwachia jamaa anakata seal kilaini mbanie mpaka atangaze NIA
atangaze nia mara ngapi, si engagement alitoa siku moja baada kuambiwa binti ana seal!
habari ya j2
 
Kati umri huo alio nao ni kweli hana bikra au hajawahi fanya mapenzi?
yawezekana anayo na hajafanya mapenzi kweli, ila kati kundi la mabinti 100 wa leo unapata m1 wa hivi au hata usipate kabisa
 
yawezekana anayo na hajafanya mapenzi kweli, ila kati kundi la mabinti 100 wa leo unapata m1 wa hivi au hata usipate kabisa

Aseme toka azaliwe hajafanya matusi tutamwelewa lakini bikra mpaka ukubwani sidhani kama bado ipo
 
Hiyo bikra kweli unayo au ndo kuuza sura tu jukwaani hapa?
Una uhakika ipo na nani alikupima na akaiona?

Aitoe wapi hiyo bikira?? hapo kwenye red ndo penyewe
 
atangaze nia mara ngapi, si engagement alitoa siku moja baada kuambiwa binti ana seal!
habari ya j2

Njema mama kwema lakini?
Huyo anatangaza nia ya kuoa hapo anataka amege alafu aaangalie je kitu used au new
 
yawezekana anayo na hajafanya mapenzi kweli, ila kati kundi la mabinti 100 wa leo unapata m1 wa hivi au hata usipate kabisa

Hata huyo mmoja ukimpata labda kazaliwa leo hajatimiza mwezi
 
Njema mama kwema lakini?
Huyo anatangaza nia ya kuoa hapo anataka amege alafu aaangalie je kitu used au new

Umeonaa eehhh hiyo BIKIRA itatoka wapi??? Amege kisha asepe ha ha ha ha Fidel wewe!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…